Picha iliyo post namba moja tunaona na hair style, nguo, picha ilipigwa wapi as tunaona picha hiyo imefutwa pembeni isionyeshe walipigia wapi ila kwa za Z zinaonyesha viti vya wapi vyeupe hivyo. na etc ndio ilikuwa amekuja Tanzania...hiyo ni wiki 46 zilizopita.
Sasa Z na D aliporusha picha walipokutana kwenye ndege Nov 2014 alipokuwa amefurahi kukutana na muimbaji Diamond kama fan mwingine yeyote.
Ok sasa huyo rafiki wa rafiki zake Katunzi amempa mimba Z wiki 46 au sasa watu watasema ooh no alimfuata SA akaenda kumpia huko mimba.
Maisha haya yanachekesha kumbukumbu huonyesha mengi basi.
Tuliona alipoingia Dar alikuwa beneti na D na mmeona ana ndugu zake TZ na wapo pichani hiyo post ya juu hapo....so mmejua pia kuwa damu yake inaishi bongo...wengi wanapenda kusema watu wanaonyesha maisha yao kumbe hawaonyeshi...
Haya ni kama picha zionyeshavyo....
Mapaparazi watajiandaa kutinga mengine sasa