Zari, pedeshee Katunzi laivu!

Zari, pedeshee Katunzi laivu!

Na wewe kumbe kutetea uongo humu ni sababu ya Diamond duh. Haya muombeee kila dakika ashuke

Simuombei ila ni hali halisi kama akiendeleza mashauzi, huyo trunktrees ana umalaika gani mpaka useme habar ya uongo hahaaaa
 
Simuombei ila ni hali halisi kama akiendeleza mashauzi, huyo trunktrees ana umalaika gani mpaka useme habar ya uongo hahaaaa

Wacha waseme wanunee wavimbe 😂😂😂😂
 
Ni lazima kijulikane tu aisee na hivi kila kitu wanaweka mtandaoni.Na dai anataka kuprove watu kuwa ye hawezi kumpregnate mwanamke had I DNA atatupia insta.

Huyu Domo-Ndi kuanza tu kurusha picha wiki tunasikia bibie ana Mimba, Itakua ya Katunzi tu!
 
Picha hizo za 46 weeks ago alipokuja TZ. Soma kuhusu dada ake TZ.

Ila tunajua picha za Z katika picha hiyo pozi post #1 la kawaida tu.
 

Attachments

  • 1431110847349.jpg
    1431110847349.jpg
    39.7 KB · Views: 454
  • 1431110857608.jpg
    1431110857608.jpg
    39.3 KB · Views: 384
  • 1431110914678.jpg
    1431110914678.jpg
    43.7 KB · Views: 385
  • 1431110926650.jpg
    1431110926650.jpg
    40.9 KB · Views: 377
  • 1431110950339.jpg
    1431110950339.jpg
    48.4 KB · Views: 375
  • 1431110968758.jpg
    1431110968758.jpg
    39.2 KB · Views: 357
  • 1431110994177.jpg
    1431110994177.jpg
    42.2 KB · Views: 371
  • 1431111008540.jpg
    1431111008540.jpg
    38.4 KB · Views: 380
Picha iliyo post namba moja tunaona na hair style, nguo, picha ilipigwa wapi as tunaona picha hiyo imefutwa pembeni isionyeshe walipigia wapi ila kwa za Z zinaonyesha viti vya wapi vyeupe hivyo. na etc ndio ilikuwa amekuja Tanzania...hiyo ni wiki 46 zilizopita.

Sasa Z na D aliporusha picha walipokutana kwenye ndege Nov 2014 alipokuwa amefurahi kukutana na muimbaji Diamond kama fan mwingine yeyote.

Ok sasa huyo rafiki wa rafiki zake Katunzi amempa mimba Z wiki 46 au sasa watu watasema ooh no alimfuata SA akaenda kumpia huko mimba.

Maisha haya yanachekesha kumbukumbu huonyesha mengi basi.

Tuliona alipoingia Dar alikuwa beneti na D na mmeona ana ndugu zake TZ na wapo pichani hiyo post ya juu hapo....so mmejua pia kuwa damu yake inaishi bongo...wengi wanapenda kusema watu wanaonyesha maisha yao kumbe hawaonyeshi...

Haya ni kama picha zionyeshavyo....

Mapaparazi watajiandaa kutinga mengine sasa
 
46 weeks ago.
 

Attachments

  • 1431111652769.jpg
    1431111652769.jpg
    9.3 KB · Views: 565
Na hiyo siku alikuwa na Sintah na ndugu zake. 46 wks ago
 

Attachments

  • 1431112983016.jpg
    1431112983016.jpg
    44.4 KB · Views: 511
kweli usupastaa ni mzigo wa miba ukiubeba lazima uumie je dadamond ana hali gani huko duh
 
mmekaa wenyewe mnasubiri na kuwapangia wenzenu wapime DNA!! Pimeni zenu muone km hamjachakachuliwa wazazi
 
Back
Top Bottom