Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajishughulisha na zari
Na wewe kumbe kutetea uongo humu ni sababu ya Diamond duh. Haya muombeee kila dakika ashuke
Nilishasema naona anguko la diamond,. Na anguko lake ni mashauzi yake, anyway aliona amepata hilo jike gumegume, hahahhaha pole
Simuombei ila ni hali halisi kama akiendeleza mashauzi, huyo trunktrees ana umalaika gani mpaka useme habar ya uongo hahaaaa
Chukua kiti ukae kabisa maana ukisimama utachoka kusubiri anguko lake
Nyie leeni mtoto wa katunzi bana, acheni.kelele hahahahahhhaahaahahhahahahaha, mwenyewe zari anawang'ong'a tu
Hata kama itakua ni mtoto wako tutalea tu hakuna tabu
Ni lazima kijulikane tu aisee na hivi kila kitu wanaweka mtandaoni.Na dai anataka kuprove watu kuwa ye hawezi kumpregnate mwanamke had I DNA atatupia insta.
Na hiyo siku alikuwa na Sintah na ndugu zake. 46 wks ago
Unaujua ukaribu wa sintah na muzamil katunzi?