mwanamke anayempenda mume wake, kamwe hawezi kumruhusu awatembezee wanawake wengine nje..Msikie hapa..
Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto.
My Take...
Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana. Na sioni Mobeto kama anakaribia hata moja ya tatu.
Diamond karuhusiwa aendelee 'kuwatembezea' kama alivyomshauri mwanae akue aje afanye hivyo.
Zari .. Strong woman.
sijui lini nita pata pesa.nifanye nayo yatakaMsikie hapa..
Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto.
My Take...
Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana. Na sioni Mobeto kama anakaribia hata moja ya tatu.
Diamond karuhusiwa aendelee 'kuwatembezea' kama alivyomshauri mwanae akue aje afanye hivyo.
Zari .. Strong woman.
Nyege haziziolekiMtoto kweli hana kosa kabisa hata mi hapo nimempenda ila tu diamond asizoee kisa huyo wa kwanza kapokelewa.
HahahahaAkili yake unaweza kuiombea mkopo bank ya BOA
SRS wanawake waige kwahuyu mcheza picha za uchi ? Hahaha kweli Pesa sabuni ya roho.Haahaa..
Wanawake wa Tz wanaweza mtumia huyu kama chuo kwakweli.. Wataepusha matatizo mengi sana ktk jamii.