Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

Zari 'The Boss Lady' VS Chagga Barbie 'Muke ya Mganda'

NDio nimeamka apa nakwambia sura limevimba ata mswaki sijapiga nimekimbilia umbea, ntkupa info ngoja niendelee kupekenyua kuhusu huyo mtuhumiwa katunzi

Hahahaaaaa mbavu zangu..eti sura inenivimba. Yaani huwa unanimaliza kwa kicheko udumu kwa kweli.
 
Nimemwona wa maana na ukomavu wake ila ghafla akamhusisha Linda! Naona anataka kuiamsha vita ya Nne ya dunia.
Afu mange sio kiboko wala nini kiboko ya Mange anaitwa linda bhezhenhout

Linda, mange, chaga bibi na zari wale wanawake ni balaa, mtandao wao wa umalaya ni mpana mama ubaya tunamsingiziaga tu kumuita malaya, kuna magwiji waliobobea
 
Last edited by a moderator:
Point of correction, mimba sio ya diamond, ni ya katunzi, habar ndo hyo
hahahahaa... nadhani huyo mukeyamganda angesema Mimba ni ya warumi ungekuja hapa bichwa hilo, kwamba umempiga mimba Zarinah... mpwa state house inakuvuruga sana yaani!!! Lakini nashukuru, ile siku badala ya kukufurumua kule siasani ukaamua kurudi huku kwako!!!
 
Ubuyu mtamu.....mniite basi ukiwekwa kati.Katunzi oyeeee

KATUNZI ndiye starring wa movie ya leo, akisindikizwa na supporting characters zari na diamond... Bonge la movie si ya kukosaaaa... coming soon
 
geniveros, kuna mjinga mjinga kule kwa Sintah anatumia id yako afu unfortunately enough ana chuki na Natalia, naona kumface huku hawez anajifanya ndo wewe kumponda natalia.
Huyo kidampa anakosea sana.
 
Last edited by a moderator:
ubuyu fisr class huu.......... Haaaaaa jamaa anachezewa vibaya jamani khaaaa
Yaani kabisa na wewe unaamini kwamba mimba ni ya Katunzi? hahahahaha, kweli haya ni mahaba first class halafu ulivyo na changamoto ngumu siku hizi manake unalazimika ku-balance mahaba kwa Chibu na kwa Wema!!! HOE rafiki yangu, kubali tu matokeo kwamba kwa sasa Wema na Chibu ndo basi tena, asubiri tu wakati mwingine labda watarejeana! By the way, ukiwa unaamini ni ya Katunzi, ni kitu gani kinaweza kukufanya usiamini kwamba ni ya Diamond? Au Diamond hajawahi kummega Zari?
 
Hili swala la Katunzi ni katika kumuumiza Nassib tu.Ivi swala lenyewe kasema chaga tena kaambiwa na Ivan.Ivan ni dume la ajabu kabisa na lina machungu mno na Zarina.

Ivan entertainment ikishirikiana na endless fame chini ya mkurugenzi wema sepetu, wanakuletea movie kali ya aina yake KATUNZI, Coming soon
 
hahahahaa... nadhani huyo mukeyamganda angesema Mimba ni ya warumi ungekuja hapa bichwa hilo, kwamba umempiga mimba Zarinah... mpwa state house inakuvuruga sana yaani!!! Lakini nashukuru, ile siku badala ya kukufurumua kule siasani ukaamua kurudi huku kwako!!!

Katunzi ni nani? Ni mwanaume wa aina gani? Kwa nini ahusishwe na mimba ya zari? KATUNZI, save the name
 
Hili swala la Katunzi ni katika kumuumiza Nassib tu.Ivi swala lenyewe kasema chaga tena kaambiwa na Ivan.Ivan ni dume la ajabu kabisa na lina machungu mno na Zarina.

KATUNZI, mtamjua tu mwanaume rijali aliyembebesha mimba zarinah
 
Ivan entertainment ikishirikiana na endless fame chini ya mkurugenzi wema sepetu, wanakuletea movie kali ya aina yake KATUNZI, Coming soon

warumi wema unamuonea tu..mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Back
Top Bottom