Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #201
Nakwambia siamini siamini miaka mia naneeewe! Japo Nassib simfagilii ila du siamini na wala sitaki iwe ivoooo
NAKWAMBIAJE THIS IS FALSE
Uzushi tu kunogesha story...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia siamini siamini miaka mia naneeewe! Japo Nassib simfagilii ila du siamini na wala sitaki iwe ivoooo
NAKWAMBIAJE THIS IS FALSE
NDio nimeamka apa nakwambia sura limevimba ata mswaki sijapiga nimekimbilia umbea, ntkupa info ngoja niendelee kupekenyua kuhusu huyo mtuhumiwa katunzi
Ubuyu mtamu.....mniite basi ukiwekwa kati.Katunzi oyeeee
Nimemwona wa maana na ukomavu wake ila ghafla akamhusisha Linda! Naona anataka kuiamsha vita ya Nne ya dunia.
Afu mange sio kiboko wala nini kiboko ya Mange anaitwa linda bhezhenhout
Ubuyu mtamu.....mniite basi ukiwekwa kati.Katunzi oyeeee
ha ha ha ubuyu wa kusogezea siku huu
hahahahaa... nadhani huyo mukeyamganda angesema Mimba ni ya warumi ungekuja hapa bichwa hilo, kwamba umempiga mimba Zarinah... mpwa state house inakuvuruga sana yaani!!! Lakini nashukuru, ile siku badala ya kukufurumua kule siasani ukaamua kurudi huku kwako!!!Point of correction, mimba sio ya diamond, ni ya katunzi, habar ndo hyo
Huyu charga si alitukanagwa na sijui team gani vile kuwa ana kifua...siku nyingi
Ubuyu mtamu.....mniite basi ukiwekwa kati.Katunzi oyeeee
Ubuyu mtamu.....mniite basi ukiwekwa kati.Katunzi oyeeee
Uzushi tu kunogesha story...
Yaani kabisa na wewe unaamini kwamba mimba ni ya Katunzi? hahahahaha, kweli haya ni mahaba first class halafu ulivyo na changamoto ngumu siku hizi manake unalazimika ku-balance mahaba kwa Chibu na kwa Wema!!! HOE rafiki yangu, kubali tu matokeo kwamba kwa sasa Wema na Chibu ndo basi tena, asubiri tu wakati mwingine labda watarejeana! By the way, ukiwa unaamini ni ya Katunzi, ni kitu gani kinaweza kukufanya usiamini kwamba ni ya Diamond? Au Diamond hajawahi kummega Zari?ubuyu fisr class huu.......... Haaaaaa jamaa anachezewa vibaya jamani khaaaa
Hili swala la Katunzi ni katika kumuumiza Nassib tu.Ivi swala lenyewe kasema chaga tena kaambiwa na Ivan.Ivan ni dume la ajabu kabisa na lina machungu mno na Zarina.
hahahahaa... nadhani huyo mukeyamganda angesema Mimba ni ya warumi ungekuja hapa bichwa hilo, kwamba umempiga mimba Zarinah... mpwa state house inakuvuruga sana yaani!!! Lakini nashukuru, ile siku badala ya kukufurumua kule siasani ukaamua kurudi huku kwako!!!
Umbea huu, sijapiga mswaki hvyoo ? Maana naona ntapitwa bure
Hili swala la Katunzi ni katika kumuumiza Nassib tu.Ivi swala lenyewe kasema chaga tena kaambiwa na Ivan.Ivan ni dume la ajabu kabisa na lina machungu mno na Zarina.
Team wema .
Ivan entertainment ikishirikiana na endless fame chini ya mkurugenzi wema sepetu, wanakuletea movie kali ya aina yake KATUNZI, Coming soon