Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Status
Not open for further replies.
Hahahahhahaha kumbe ile nyumba yake(kigoma hatoki boi), kama hujui nyamaza ndo nyie mnaotuambia karanga za domo kumbe jina tu limenunuliwa, shares gani????? Njoo na ushahidi sio habari zenu za mitandaoni, wenye hela wako bize kuziongeza sio kupiga kelele mitandaoni.
 
Check ulivyopanic so boss wako hamisa ndo ana kila haki ya kutawala mitandaon eeee bullying ya zari kuzaa watoto baba tofauti imepitwa na wakati naona unachanganya madesa poleeeeee msukule wa hamisaa
 
Eti kigoma hatoki boi maskin weee kwa hio unadhan zari ana nyumba moja tu poleee halafu unataka fact zipi!???pichaaa??? Wakati kila dakika upo kwenye page ya zari umevimba sura kwa wivu utazan shira lililozidishiwa hamira
 
Yaani wanaosema hamissa kafanya vibaya kwenda siwaelewi hivi mtu ukatae hela kisa kuna mbaya wako?

Hamissa kafanya poa kumjibu, Zari alimuonea sana wema bora kapata cha mdomo mwenzie!!
Zari akome

Mara kwa mara anamuattack hamisa


Acha apate the taste of her own medicine

Kwa umri wake hakupaswa kufanya upuuzi alofanya

Mzee mwenzangu zari angetulia ambane bwana wake angedhurika nini
 
Check ulivyopanic so boss wako hamisa ndo ana kila haki ya kutawala mitandaon eeee bullying ya zari kuzaa watoto baba tofauti imepitwa na wakati naona unachanganya madesa poleeeeee msukule wa hamisaa
Wewe ndo unachanganya madesa hapa fact tu alianza chokochoko wenzie wanamaliza, akitulize tu mtoto mdogo amnyoshee hadi anyoke.
 
Nisaidie kuuliza akijibu na kuweka hizo empire alizojijengea nakuja
Empire za madale

Unajua wabongo wana kasumba ya kubabaikia mtu wa nje

Usishangae wakikwambia zari tajiri ana maempire.... (bora klyn aseme ana empire kuliko huyo failed porn star....ila ukiwaambia ukweli watasema una wivu)
 
Asilimia 98 ya wanawake wa JF wanamchukia zari kisa kawazidi ujanja,uzuri,maarifa,mali,uandaaji party za mafanikio,page ya insta yenye followers wengi kuliko wanawake woooteee east africa.

Maisha haya pambaneni na hali zenu tu.

Ikikuuuma pasua simu
 
Huyo unayemsifia mbona nae yupo kundi moja tu na hao unaowaponda????

Tukiachana nahayo ,,Zary nizary nahuwezi kumfananisha na celebrities wahapa Bonge hamnaaa hamna kwasababu hawapo independent wote ni wadangaji !!!! ...kudanga danga ili waishi.
 
Anayenyooshwa anaonekana full kukondeana kwa stress,full kumfata fata zari kila aendako ka mbwa wa kienyeji

Oohooo sina team pyeeee kuumbuka hadharan
Leta ushahidi hapa wacha kukariri kwamba mtu akimtetea fulani basi team yake utafeli, kwenye ukweli lazima tuseme hutaki kamfunge kamba boss wake hawaoni wenzie kina Ritha Paulsen.
 
Yaan analipwa akatae kisa mabifu yao we vepe

Waganda balaa hakuwachanganyia party yao wanaweza kuwa hawajamlipa hata senti au 10% tu.. ndio maana ametolea kununua maneno ya Zari anayowasema Waganda wenzake kuweka kuwa kama anaongelewa yeye.. hajui Zari anamaadui wengi tangu zamani wanapenda kutaka kuwa yeye na kutafuta ya kushindana nae..

Kwa hasira zake inaonyesha hakupata alichotegemea huko Uganda. Kajaa hasira inaonyesha amedoda.. si kwa kurusha video ya zamani.. aache kutaka kuwa Zari.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…