misstrace
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 649
- 1,484
Hahahahhahaha kumbe ile nyumba yake(kigoma hatoki boi), kama hujui nyamaza ndo nyie mnaotuambia karanga za domo kumbe jina tu limenunuliwa, shares gani????? Njoo na ushahidi sio habari zenu za mitandaoni, wenye hela wako bize kuziongeza sio kupiga kelele mitandaoni.U see jealous kills. Still.mali ni za zari na zari white party ni yake. Watoto wana shates zao na yeye ana shares zake.(najua unaumia polee,ikikuuuma meza wembe)
Hamisa ana watoto wawili baba tofauti and soon ataonheza watatu baba mwingine. Anaishi nyumba ya kupanga kwa jasho la wanaume za watu bwahahahahaha
Zari ana watoto watano kwa baba wawili. Na anaishi nyumba yake kwa jasho lake