Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Zari vs Hamisa mambo ni hivii instagram

Status
Not open for further replies.
U see jealous kills. Still.mali ni za zari na zari white party ni yake. Watoto wana shates zao na yeye ana shares zake.(najua unaumia polee,ikikuuuma meza wembe)

Hamisa ana watoto wawili baba tofauti and soon ataonheza watatu baba mwingine. Anaishi nyumba ya kupanga kwa jasho la wanaume za watu bwahahahahaha

Zari ana watoto watano kwa baba wawili. Na anaishi nyumba yake kwa jasho lake
Hahahahhahaha kumbe ile nyumba yake(kigoma hatoki boi), kama hujui nyamaza ndo nyie mnaotuambia karanga za domo kumbe jina tu limenunuliwa, shares gani????? Njoo na ushahidi sio habari zenu za mitandaoni, wenye hela wako bize kuziongeza sio kupiga kelele mitandaoni.
 
Check ulivyopanic so boss wako hamisa ndo ana kila haki ya kutawala mitandaon eeee bullying ya zari kuzaa watoto baba tofauti imepitwa na wakati naona unachanganya madesa poleeeeee msukule wa hamisaa
Bahati mbaya sijawahi kuwa team udambu yoyote, hao wote kwangu wendawazimu, mtu mzima akivuliwa nguo anachutama ila boss wako kakomaa, bibi mzima unaanzaje kushindana na mtoto ambaye unaweza kumzaa???
Unamcheka mwenzio kazaa watoto baba tofauti umesahau na wewe watoto wako umezaa hivyo, kwani si huyu alikuwa anapanga foleni kwa Ivan kupewa matunzo???? Sio huyu anambana mbupu Domo hadi anashindwa kuchomoka???
Endelea kudanganyika na maisha ya boss wako ya mtandaoni
 
Eti kigoma hatoki boi maskin weee kwa hio unadhan zari ana nyumba moja tu poleee halafu unataka fact zipi!???pichaaa??? Wakati kila dakika upo kwenye page ya zari umevimba sura kwa wivu utazan shira lililozidishiwa hamira
Hahahahhahaha kumbe ile nyumba yake(kigoma hatoki boi), kama hujui nyamaza ndo nyie mnaotuambia karanga za domo kumbe jina tu limenunuliwa, shares gani????? Njoo na ushahidi sio habari zenu za mitandaoni, wenye hela wako bize kuziongeza sio kupiga kelele mitandaoni.
 
Yaani wanaosema hamissa kafanya vibaya kwenda siwaelewi hivi mtu ukatae hela kisa kuna mbaya wako?

Hamissa kafanya poa kumjibu, Zari alimuonea sana wema bora kapata cha mdomo mwenzie!!
Zari akome

Mara kwa mara anamuattack hamisa


Acha apate the taste of her own medicine

Kwa umri wake hakupaswa kufanya upuuzi alofanya

Mzee mwenzangu zari angetulia ambane bwana wake angedhurika nini
 
Check ulivyopanic so boss wako hamisa ndo ana kila haki ya kutawala mitandaon eeee bullying ya zari kuzaa watoto baba tofauti imepitwa na wakati naona unachanganya madesa poleeeeee msukule wa hamisaa
Wewe ndo unachanganya madesa hapa fact tu alianza chokochoko wenzie wanamaliza, akitulize tu mtoto mdogo amnyoshee hadi anyoke.
 
Nisaidie kuuliza akijibu na kuweka hizo empire alizojijengea nakuja
Empire za madale

Unajua wabongo wana kasumba ya kubabaikia mtu wa nje

Usishangae wakikwambia zari tajiri ana maempire.... (bora klyn aseme ana empire kuliko huyo failed porn star....ila ukiwaambia ukweli watasema una wivu)
 
Asilimia 98 ya wanawake wa JF wanamchukia zari kisa kawazidi ujanja,uzuri,maarifa,mali,uandaaji party za mafanikio,page ya insta yenye followers wengi kuliko wanawake woooteee east africa.

Maisha haya pambaneni na hali zenu tu.

Ikikuuuma pasua simu
 
Anayenyooshwa anaonekana full kukondeana kwa stress,full kumfata fata zari kila aendako ka mbwa wa kienyeji

Oohooo sina team pyeeee kuumbuka hadharan
Leta ushahidi hapa wacha kukariri kwamba mtu akimtetea fulani basi team yake utafeli, kwenye ukweli lazima tuseme hutaki kamfunge kamba boss wake hawaoni wenzie kina Ritha Paulsen.
 
Yaan analipwa akatae kisa mabifu yao we vepe

Waganda balaa hakuwachanganyia party yao wanaweza kuwa hawajamlipa hata senti au 10% tu.. ndio maana ametolea kununua maneno ya Zari anayowasema Waganda wenzake kuweka kuwa kama anaongelewa yeye.. hajui Zari anamaadui wengi tangu zamani wanapenda kutaka kuwa yeye na kutafuta ya kushindana nae..

Kwa hasira zake inaonyesha hakupata alichotegemea huko Uganda. Kajaa hasira inaonyesha amedoda.. si kwa kurusha video ya zamani.. aache kutaka kuwa Zari.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom