Ndo maana nkasema Zari hajielewi...mwanamke anaejitambua hawezi Fanya huo ujinga!!!Tiffah alivyozaliwa zari alikua anaishi wapi huko sauz? Diamond alikua haendi kutembea hapo nyumbani alipokua anaishi zari?
Mbona sizioni hizo quotes? Ujue natumia app kuna muda sioni update yoyote. Itabid nianze kutumia web hawa JF nao[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hahaaa...shoga Leo umenijibu kisa Zari au?maana kule kungine hata nikikukoti hunijibugi...!!!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unanibechuaaa.....!!!!Ndo maana nkasema Zari hajielewi...mwanamke anaejitambua hawezi Fanya huo ujinga!!!
Sio Mara moja wala sio mbili nikikukoti hunijibu daily!!!nkajua kisa Zari na Hamisa ndo mpk kwenye vitu vingine? Maana wengine wanajibiwa Mimi hakuna!nkaacha hata kukukoti kwenyewe maana nisije onekana najipendekeza sana miye[emoji3][emoji3][emoji3]Mbona sizioni hizo quotes? Ujue natumia app kuna muda sioni update yoyote. Itabid nianze kutumia web hawa JF nao[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Iyo kazi ukiifanya kwa muda mrefu lazima huwe hanisi,yani siku nzima unashikashika miguu milaini ya watoto wazuri.Alafu huwa wanawakanyaga sana
Ova
hawa ni lile kundi la wapenzi watazamaji wanaojifanya kujua jua sana Kumbe ni kina Mariam biriani!Na hawa watetezi wake hapa jf wanaingia kwenye kundi lipi ?
Duuuh nisamehe bure. Niqoute saiv nitakua natumia web. App inazinguaSio Mara moja wala sio mbili nikikukoti hunijibu daily!!!nkajua kisa Zari na Hamisa ndo mpk kwenye vitu vingine? Maana wengine wanajibiwa Mimi hakuna!nkaacha hata kukukoti kwenyewe maana nisije onekana najipendekeza sana miye[emoji3][emoji3][emoji3]
Ila Mimi haya mambo ya Zari na Hamisa nayaachaga hapa hapa nkitoka hapo maisha mengine yanaendelea!!
Duuuh nisamehe bure. Niqoute saiv nitakua natumia web. App inazingua
Sanaaaaa[emoji23][emoji23] kinakuhangaisha haswaa!
Numbisa na wenzako msaidieni mwenzenu. Achen kumvisha kilemba cha ukoka.Kila bada ya dakika mbili.anapost,mara kashikwa paja,mara yupo kitandana kama vile anachofanya ni cha ajabu sana duniani
Kule SA u single mom ni mtaji wa kuendeshea maisha.Makabila ya nchi za kusini mwa Africa wana hiyo hali. Wanawake wanapenda kuzalishwa bila kuwa na waume. Unakuta ana divorce mwanaume bila sababu ya msingi. Single mother ni wengi sana.Halafu unakuta ilianza toka kwa bibi wa mbali kabisa wote wanakuwa hivyohivyo. Nimekuwa Botswana, SA,Swaziland,Lesotho, Zimbabwe. Wako hivyohivyo.Kule kupewa mzigo na dame sio issue kubwa. Anakupa tu halafu mnaachana.
Zari nafikiri dini yake inamruhusu. Kwenye dini hiyo, Mwanamke anaweza kuolewa hata zaidi ya mara 4.
Huruma nikuonee wewe.Dreka unatia huruma sana daah pole kama nawe uliachwa bwana mwaki onamuuma sana kama unavyoumia. Vipi nawe ulihonga nyumba?
Wema ni vigumu sana kupata mimba
Amesha choropoa mimba kama nane!
Mungu huwa hataniwi kiasi hicho
Huruma nikuonee wewe.
Tangu umeanza kum diss Diamond sijui umefaidika kwa lipi hadi leo hii. Huo wivu dhidi ya kijana mwenzako(samahani inawezekana ukawa mzee kama zari) hautakusaidia
Anyway jealousy is just love and hate at the same time.
Hahahhaha ya Isidingo tuyaache bna [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] maana utanifanyia nikumbuke huduma yako iliyotukuka na kwa heshima itabidi nikae kimya.Uzee wa namna hii mbona mzuri.View attachment 1082365nimefaidika vingi moja kupata bando la kuwahadithi isidingo mara hii umesahau jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaha ya Isidingo tuyaache bna [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] maana utanifanyia nikumbuke huduma yako iliyotukuka na kwa heshima itabidi nikae kimya.
Sawa mkuuEe kaa kimya tu maana hii ligi ni ndefu mno