Zarina Hakujiandaa kwa Shambulio la kustukiza

Zarina Hakujiandaa kwa Shambulio la kustukiza

Hahaaa...shoga Leo umenijibu kisa Zari au?maana kule kungine hata nikikukoti hunijibugi...!!!

[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unanibechuaaa.....!!!!
Tiffah alivyozaliwa zari alikua anaishi wapi huko sauz? Diamond alikua haendi kutembea hapo nyumbani alipokua anaishi zari?
Ndo maana nkasema Zari hajielewi...mwanamke anaejitambua hawezi Fanya huo ujinga!!!
 
Hahaaa...shoga Leo umenijibu kisa Zari au?maana kule kungine hata nikikukoti hunijibugi...!!!

[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unanibechuaaa.....!!!!Ndo maana nkasema Zari hajielewi...mwanamke anaejitambua hawezi Fanya huo ujinga!!!
Mbona sizioni hizo quotes? Ujue natumia app kuna muda sioni update yoyote. Itabid nianze kutumia web hawa JF nao[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mbona sizioni hizo quotes? Ujue natumia app kuna muda sioni update yoyote. Itabid nianze kutumia web hawa JF nao[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sio Mara moja wala sio mbili nikikukoti hunijibu daily!!!nkajua kisa Zari na Hamisa ndo mpk kwenye vitu vingine? Maana wengine wanajibiwa Mimi hakuna!nkaacha hata kukukoti kwenyewe maana nisije onekana najipendekeza sana miye[emoji3][emoji3][emoji3]

Ila Mimi haya mambo ya Zari na Hamisa nayaachaga hapa hapa nkitoka hapo maisha mengine yanaendelea!!
 
Duuuh nisamehe bure. Niqoute saiv nitakua natumia web. App inazingua
 
Makabila ya nchi za kusini mwa Africa wana hiyo hali. Wanawake wanapenda kuzalishwa bila kuwa na waume. Unakuta ana divorce mwanaume bila sababu ya msingi. Single mother ni wengi sana.Halafu unakuta ilianza toka kwa bibi wa mbali kabisa wote wanakuwa hivyohivyo. Nimekuwa Botswana, SA,Swaziland,Lesotho, Zimbabwe. Wako hivyohivyo.Kule kupewa mzigo na dame sio issue kubwa. Anakupa tu halafu mnaachana.
Zari nafikiri dini yake inamruhusu. Kwenye dini hiyo, Mwanamke anaweza kuolewa hata zaidi ya mara 4.
Kule SA u single mom ni mtaji wa kuendeshea maisha.
 
Dreka unatia huruma sana daah pole kama nawe uliachwa bwana mwaki onamuuma sana kama unavyoumia. Vipi nawe ulihonga nyumba?
Huruma nikuonee wewe.
Tangu umeanza kum diss Diamond sijui umefaidika kwa lipi hadi leo hii. Huo wivu dhidi ya kijana mwenzako(samahani inawezekana ukawa mzee kama zari) hautakusaidia
Anyway jealousy is just love and hate at the same time.
 
Khe khe khe khe,kama ulikuepo na kushuhudia akitoa hizo mimba.Wabongo bana,Wema anakimbilia thirty something halafu unasema hana Mtoto?Una uhakika kuwa hana bebi?Alikuwa na mimba wakati yupo na Mond nadhani alipata mtoto kama siyo watoto long time ago.Acheni uongo.Huenda labda mimi sijui,kweli hiyo mikuyenge yote iliyozamishwa humo haijawahi kuivisha mahindi kama siyo kunde?Tatizo litakuwa hao vijeba hawana nguvu za wazungu.
Wema ni vigumu sana kupata mimba
Amesha choropoa mimba kama nane!
Mungu huwa hataniwi kiasi hicho
 
Uzee wa namna hii mbona mzuri.
58641579_140340690431534_2413762830421553703_n.jpg
nimefaidika vingi moja kupata bando la kuwahadithi isidingo mara hii umesahau jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Huruma nikuonee wewe.
Tangu umeanza kum diss Diamond sijui umefaidika kwa lipi hadi leo hii. Huo wivu dhidi ya kijana mwenzako(samahani inawezekana ukawa mzee kama zari) hautakusaidia
Anyway jealousy is just love and hate at the same time.
 
Ee kaa kimya tu maana hii ligi ni ndefu mno
Hahahhaha ya Isidingo tuyaache bna [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] maana utanifanyia nikumbuke huduma yako iliyotukuka na kwa heshima itabidi nikae kimya.
 
Mnatamani iwe ulivyoandika.. kwa nyie kumjadili yeye ni mshindi.. mwambieni huyo aache wivu wa kumtamani awe wake tena.
 
Back
Top Bottom