Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaaa...shoga Leo umenijibu kisa Zari au?maana kule kungine hata nikikukoti hunijibugi...!!!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unanibechuaaa.....!!!!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unanibechuaaa.....!!!!
Ndo maana nkasema Zari hajielewi...mwanamke anaejitambua hawezi Fanya huo ujinga!!!Tiffah alivyozaliwa zari alikua anaishi wapi huko sauz? Diamond alikua haendi kutembea hapo nyumbani alipokua anaishi zari?