ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

Nashangaa mpaka mabalozi wa nchi wao wapo
 
Kafiri Mama yako
 
Nadhani unayozungumzia ni ZBC 2, ipo chini ya Azam media,ila ZBC ni ya serikal na haina maudhui hayo
 
waasisi wa muungano huu hasa nyerere kuna kitu walichanganya kwenye ule udongo wa kutufanya watanganyika tuogope kuvunja muungano. Kongole kwake
Ila ipo siku utavunjika
 
huo utakuwa ni ushenzi kutandika watu bakora wanaokula mchana. Bara ukichapa mtu anaekula mchana utajibiwa vikali
Natania bwana kupigana siyo sawa ingawa unatakiwa ukienda sehemu uheshimu mila na tamaduni zao
 
Kama hiyo ZBC2 ipo chini ya azam, ni bora ikabadilishwa jina ili isionekane ni ya shirika la utangazaji la zanzibar, ZBC ni kama TBC haipaswi kurusha maudhui ya kiislam tu wakati kuna dini zingine nazo zinatakiwa vipindi vyao virushwe. TBC wanabalansi vipindi vya dini. Na kama ipo chini ya azam kwa nini irushe mambo ya kiislam tu wakati si taasisi ya dini kama tv imaan, quran tv? Basi kama ni hivyo azam aanzishe pia tv ya vipindi vya kikristo kama hiyo ZBC2, aanzishe ZBC3 yenye maudhui ya kikristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…