balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Ulaya wako pamoja na Ukraine.Trump atacome down.Zele ashikilie hapo hapo, ikiwezekana akamuombe msamaha kaka yake Putin, wale ni ndugu hawawezi shindwana, damu nzito, amwambie USA alimdanganya ili akwapue madini yake. Kwangu mimi naona Bora Ukraine iwe sehemu ya Urusi kuliko anachokitaka Trump.
Jamaa ni bepari lililopitiliza.Ulaya wako pamoja na Ukraine.Trump atacome down.
Ok. Walipanga miaka mitatu.Nani alikwambia Urusi walipanga wiki 3 ya SO?
Miaka mitatu ya kazi ngumu toka kwa “comedian” hadi kujenga uswahiba kati ya Urusi na mkuu wa NATO. Tunasubiri kinachofuata.Kwa hiyo NATO na Ukraine wamefanikiwa nini kwenye hili?
Ok. Walipanga miaka mitatu.
Kasome kauli za Putin mwanzoni mwa “special operation” alipopanga vifaru vyake kilomita kadhaa nje ya Kyiv.
Huenda wiki tatu zilionekana nyingi zaidi. Basi sikiliza hapa:Acha porojo
Russia hawakupanga chochote
Lete hapa source kutoka Russia ikionyesha maafisa walisema walipanga SO ya wiki 3
Business man in office says we will have to crosscheck every receipt with magnifying glass to see the figure correctly and make them pay orWanaukimbi.
Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.
"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.
Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.
"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.
I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.
Huenda wiki tatu zilionekana nyingi zaidi. Basi sikiliza hapa:
View: https://youtube.com/watch?v=o9ym9TDs6Dg&si=O5jCAxgUqQpY6aio
Kila mtu angepata dola 50. Tu. ( kama laki na ishirini hivi za madafuNi kweli kabisa! Duniani kuna takribani jumla ya watu bilioni 10. Sasa piga hesabu dola bilioni 500 zingegawiwa kwa idadi ya watu duniani kila mtu angepata dola ngapi? Jumlisha na za vita vingine vinavyotokea sehemu mbali mbali duniani.
Kuhusu msaada huo kuna taarifa zinapindishwa sana na wanasiasa wa marekani. Serikali ya Marekani ilitoa msaada mkubwa wa silaha, siyo fedha. Silaha hizo nyingi ni zile ambazo zilikuwa zinaanza kuwa decommisioned jeshini, nyingine hasa cluster munitions zilikuwa kwenye storage tangu vita ya Vietnam. Sasa kila silaha iliyotolewa msaada ilikuwa inapewa thamani, lakini sasa watu wanatafsri kuwa zilikuwa pesa taslimu.Wanaukimbi.
Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo.
"Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani.
Sitambui hata dola bilioni 100. Tulikubaliana na Biden kwamba ilikuwa ruzuku, sio deni."
===============
JUST IN: Zelensky says that he received only $100 billion in U.S. aid as grant, not a loan.
"We don't recognize Ukraine's $500 billion debt to the US.
I don't even recognize $100 billion. We agreed with Biden that it was a grant, not a debt.
Wenyewe wanaita vifurushi mara ya Joe Biden alitangaza kifurushi kipya cha msaada wa usalama cha dola bilioni 2.5 kwa Ukraine, ambacho kinajumuisha vifaa vya kijeshi vya dola bilioni 1.25 na dola bilioni 1.22 chini ya Mpango wa Usaidizi wa Usalama wa Ukraine (USAI).Kuhusu msaada huo kuna taarifa zinapindishwa sana na wanasiasa wa marekani. Serikali ya Marekani ilitoa msaada mkubwa wa silaha, siyo fedha. Silaha hizo nyingi ni zile ambazo zilikuwa zinaanza kuwa decommisioned jeshini, nyingine hasa cluster munitions zilikuwa kwenye storage tangu vita ya Vietnam. Sasa kila silaha iliyotolewa msaada ilikuwa inapewa thamani, lakini sasa watu wanatafsri kuwa zilikuwa pesa taslimu.
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy confirmed that Ukraine has received approximately $76 billion of the $177 billion in aid approved by the United States. The statement, made during an interview with The Associated Press on February 2.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hakuna mjinga anayeamini hii vita ingefika hata nusu mwaka. Tofauti ya Ukraine na Russia kwa idadi ya wapiganaji, silaha na pesa ni kubwa mno. Hata msaada wa silaha wa NATO haufuniki uwezo wa Russia. Ndio sababu Putin alipata jeuri ya kudai ni “special operation”; sio vita!Mzee achana na hizi takataka za propaganda lete source ikionyesha Russia wakisema SO ni week 3
Hakuna mjinga anayeamini hii vita ingefika hata nusu mwaka. Tofauti ya Ukraine na Russia kwa idadi ya wapiganaji, silaha na pesa ni kubwa mno. Hata msaada wa silaha wa NATO haufuniki uwezo wa Russia. Ndio sababu Putin alipata jeuri ya kudai ni “special operation”; sio vita!
Miaka mitatu baadaye and counting unaweza kuamini unachopenda. Reality ni kuwa Zelenskyy aliyedharauliwa sana kama comedian, ameonyesha serious leadership ambayo haikutarajiwa kabisa. Ameweza kukabiliana na bully kishujaa sana.
Mnaofurahia harakati za madikteta na wanyanyasaji. Kwenu, Zelenskyy ni “mjinga” sana. Alitakiwa kuachia ngazi na kujikabidhi kwa bully ili ateswe, auawe au apelekwe utumwani kama wahenga wenu walivyouzana utumwani Ulaya na Uarabuni. Well, you’re entitled to your mindset and choices.
Bado unatafuta tamko rasmi la Putin kuhusu muda? Wasting your time. Tafuta clip zote za Putin na media za Urusi kuhusu kuanza kwa special operation usikie makisio yaliyokuwa yakifanywa.Kabla sijasoma hili gazeti lako tunakubaliana kuwa hakuna mahali Russia walisema SO itafanyika kwa wiki 3