Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila majeshi ya urusi yalitangaza kitambo kuwa yatauachia mji huo. Kwanza Ukraine wal;ikuwa hawaamini kama urusi ni kweli imeamua kuuachia mji huo na walikuwa wanadhani ni mtego wa warusi. Hii ni kwa sababu majeshi ya ukraine yalikuwa yamefanya majaribio mengi ya kuukomboa mji huo bila mafanikio na yaliingia hasara kubwa sana ya kuuliwa askari wake wengi na vifaa vya kijeshi kuharibiwa katika majaribio hayo. Kwa mazingira hayo ilikuwa ni vigumu kwao kuamini kuwa urusi iliyokuwa imefanikiwa kuulinda mji huo usikombolewe leo inaamua kuuachia "bure" bila kufurushwa kwa nguvu za kijeshi.

Urusi iliamua kuuachia kwa kuzingatia hali halisi ya kijiografia na kuzingatia malengo yake ya muda mrefu. Kiasili jimbo la Kherson limegawanywa katika sehemu mbili zilizotenganishwa na mto. Mji wa kherson uko upande wa magharibi wa mto na upande huo una asilimia 30% ya jimbo la kherson. Upande wa mashariki mwa mto huo kuna asilimia 70% ya jimbo la Kherson. Sehemu hizo mbili zinaunganishwa na madaraja. Katika hali ya kivita madaraja hayo yalikuwa yakishambuliwa mara kwa mara na kuharibiwa na kugharimu kutengeneza madaraja ya muda. Kwa malengo ya muda m,refu ni vigumu kujihakikishia usalama kwa walioko upande wa magharibi ikiwa ni pamoja na uhakika wa kuweza kusafirisha silaha kubwa kubwa upande huo. Ndio maana urusi iliwataka raia wahame maeneo hayo na wengi walihama japo kuna wachache walibaki.

Mfano mzuri ni mto Ruvuma unaotenganisha Tanzania na Msumbiji na tunaunganishwa na daraja. Kama (Mungu apishe mbali) ikitokea tukapigana na Msumbiji kisha tukateka sehemu yao, kazi yao ni nyepesi nayo ni kulivunja tu hilo daraja kwa mabomu na hatutaweza kuwahudumia vizuri wanajeshi wetu walioko huko. Mto ni mpaka wa asili na watu hulazimika kuuheshimu, usipouheshimu huko mbeleni unaweza kuadhirika. Ndivyo alivyoamua Urusi kuwa inabidi arudi nyuma na kujiimarisha upande wa mashariki mwa mto. Hali kadharika Ukraine hata akifanyaje hawezi kuvuka mto akakomboa sehemu iliyo mashariki mwa mto huo! Hapo patakuwa hivyo miaka nenda rudi.

Sawa ila makao makuu ya KHERSON ndipo bendera ya UKRAIN inapepea,hata wao hawajasema wamekomboa wote mkoa umetenganishwa na mto,au ulitaka wasishangilie waingie kimya kimya tu. Wapi wamesema wamekomboa wote weka hapa.

Pia ungeweka hapa maneno nukuu ya Mkuu wa Majeshi Russia kwamba wamehama ili kulinda uhai wa askari wao ina maana kipigo toka kwa ukrain ndio maana wamechukua umauzi huo, Hapo hakuna propaganda ni hali halisi kuna mtu katoa mkong'oto na kuna mtu kakimbia baada ya mkong'oto kuzidi sasa propaganda gani hapo. Mengineyo unajifurahisha tu

PDATED November 09, 2022
BY RFE/RLs Russian Service

"The lives of the Russian military personnel are always a priority for us. We must also take into account threats imposed on the civilian population and make sure that all civilians who chose to leave can do so," Shoigu said. "We also need to start withdrawing the troops and undertake all necessary measures to secure the move of military personnel, arms, and equipment to the other side of the Dnieper."
 
Attachments

  • shoigu.jpg
    shoigu.jpg
    119.4 KB · Views: 2
Vita ni propaganda na ni moja ya silaha ya kivita pia, lakini naya kuliko yote siku hizi hakuna chombo hata kimoja cha habari duniani hawana agenda zao, hata wale tuliokuwa tunawaamini zamani kama CNN, BBC au Aljazeera nao wana report kile wanachosimamia kama agenda ya kituo. CNN kwa sababu hawampendi Trump basi wote watashambulia republican, kwakuwa hawampendi Putin basi wataita hata wapinzani wa Russia kuwapa airtime ni kama TBC hata siku hawawezi kuwapa airtime wapinzani wa CCM muhimu list ndefu na hii imesababisha kuwa makini unasikiliza kituo gani? nini sera ya kituo hicho bahati mbaya sana hapa ndio tulipo na vituo biashara tu wewe lipa pesa nzuri utapambwa hata kama wewe kichaa unajulikana na wote. Vita ni propaganda ukweli hatutaweza kuja kujuwa nini hasa kinatokea ila tutalishwa wanachotaka kutulisha. Kitu kimoja muhimu hata uwe na nguvu namna gani kushinda kwa nguvu ni ngumu mwisho wa kila vita watu watakaa na kukubaliana lakini watu wameshakufa wengi ila wanasiasa hawajali hata hii vita watakaa wataongea na yataisha, lini? sijui
Wewe unajua sana. Big up
 
Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila majeshi ya urusi yalitangaza kitambo kuwa yatauachia mji huo. Kwanza Ukraine wal;ikuwa hawaamini kama urusi ni kweli imeamua kuuachia mji huo na walikuwa wanadhani ni mtego wa warusi. Hii ni kwa sababu majeshi ya ukraine yalikuwa yamefanya majaribio mengi ya kuukomboa mji huo bila mafanikio na yaliingia hasara kubwa sana ya kuuliwa askari wake wengi na vifaa vya kijeshi kuharibiwa katika majaribio hayo. Kwa mazingira hayo ilikuwa ni vigumu kwao kuamini kuwa urusi iliyokuwa imefanikiwa kuulinda mji huo usikombolewe leo inaamua kuuachia "bure" bila kufurushwa kwa nguvu za kijeshi.

Urusi iliamua kuuachia kwa kuzingatia hali halisi ya kijiografia na kuzingatia malengo yake ya muda mrefu. Kiasili jimbo la Kherson limegawanywa katika sehemu mbili zilizotenganishwa na mto. Mji wa kherson uko upande wa magharibi wa mto na upande huo una asilimia 30% ya jimbo la kherson. Upande wa mashariki mwa mto huo kuna asilimia 70% ya jimbo la Kherson. Sehemu hizo mbili zinaunganishwa na madaraja. Katika hali ya kivita madaraja hayo yalikuwa yakishambuliwa mara kwa mara na kuharibiwa na kugharimu kutengeneza madaraja ya muda. Kwa malengo ya muda m,refu ni vigumu kujihakikishia usalama kwa walioko upande wa magharibi ikiwa ni pamoja na uhakika wa kuweza kusafirisha silaha kubwa kubwa upande huo. Ndio maana urusi iliwataka raia wahame maeneo hayo na wengi walihama japo kuna wachache walibaki.

Mfano mzuri ni mto Ruvuma unaotenganisha Tanzania na Msumbiji na tunaunganishwa na daraja. Kama (Mungu apishe mbali) ikitokea tukapigana na Msumbiji kisha tukateka sehemu yao, kazi yao ni nyepesi nayo ni kulivunja tu hilo daraja kwa mabomu na hatutaweza kuwahudumia vizuri wanajeshi wetu walioko huko. Mto ni mpaka wa asili na watu hulazimika kuuheshimu, usipouheshimu huko mbeleni unaweza kuadhirika. Ndivyo alivyoamua Urusi kuwa inabidi arudi nyuma na kujiimarisha upande wa mashariki mwa mto. Hali kadharika Ukraine hata akifanyaje hawezi kuvuka mto akakomboa sehemu iliyo mashariki mwa mto huo! Hapo patakuwa hivyo miaka nenda rudi.
Sasa kulikuwa na sababu gani ya kuanzisha vita , ilhali akijua kuwa ataenda kugawa ushindi
 
Mkuu usijidanganye eti Urusi inapigana na Nato, hapo Nato inachokifanya ni kumsaidia Ukraine silaha tena silaha kiduchu na za kiwango cha chini.

Nakwambia hii vita ingekuwa ni Russia Vs Nato kwanza isingefika leo bila vita kuisha. Nani asiyejua kuwa kanuni ya USA ni kudominate Anga na bahari?
Mpaka muda huu umeshazion F16, F22, F35 au mambo ya B2 ?

Ebu tuache utani kwa kusema Russia anapigana dhidi ya Nato.

Russia mwenyewe alishasema kuwa yeyote atakayeingilia hii vita basi atamshambulia. Ina maana wewe ndio mwenye taharifa kuwa Nato inapigana na Russia pasipo Russia kulijua hilo?
Vita gani hao unaowataja walishinda? ushindi wa wazi. Iraq tu hakwenda peke yake hapa Syria wameenda mpaka alipoingilia Russia aka balance power jamaa mpaka leo yupo. USA ana kila kitu lakini hata yeye weka history yake vita vingapi alishinda hapo Afghan tu kawarudisha walewale Taliban
 
Mkuu usijidanganye eti Urusi inapigana na Nato, hapo Nato inachokifanya ni kumsaidia Ukraine silaha tena silaha kiduchu na za kiwango cha chini.

Nakwambia hii vita ingekuwa ni Russia Vs Nato kwanza isingefika leo bila vita kuisha. Nani asiyejua kuwa kanuni ya USA ni kudominate Anga na bahari?
Mpaka muda huu umeshazion F16, F22, F35 au mambo ya B2 ?

Ebu tuache utani kwa kusema Russia anapigana dhidi ya Nato.

Russia mwenyewe alishasema kuwa yeyote atakayeingilia hii vita basi atamshambulia. Ina maana wewe ndio mwenye taharifa kuwa Nato inapigana na Russia pasipo Russia kulijua hilo?
Marekani haijawahi kushinda vita. Ilinyanyaswa na Japan hadi ikaamua kutumia silaha za nyuklia mara mbili!! Juzi juzi tu Marekani ilikimbia toka Afghanistan hadi ikaacha nyuma malundo ya silaha baada ya kushindwa vibaya na Taliban, pia NATO yote ilikuwa huko Afghanistan!! Marekani iliwahi kukimbizwa Somalia, ilinyanyaswa Vietnum nk. Urusi inapigana na NATO yote kwa kutumia mikono na damu ya waukraine!!

Kwa taarifa yako Marekani imeanzisha mazungumzo ya siri na Urusi ya kuomba po!!! Wameona yafuatayo:
1. Urusi haijateteleka kiuchumi pamoja na kuiwekea vikwazo zaidi nya 6000 vya kiuchumi. Kinyume chake uchumi wa nchi za magharibi ndio umeathirika!!
2. UWEZO WA NCHI ZA MAGHARIBI KUENDELEA KUGHARIMIA VITA VYA UKRAINE unaelekea ukingoni,
3. Wananchi wa nchi za magharibi wamechoshwa na athari za vita na kila leo wanafanya maandamano ya kuzipinga nchi zao, hii inahatarisha nafasi za walioko madarakani!!
4. Wamegundua kuwa Urusi ina Silaha nyingi sana kuliko walivyotegemea, na imeweza kutengeneza drones kwa kuzitengeneza upya na kuziboresha hizo za Iran na hilo limewatisha sana NATO.
5. Mwaka ujao nchi za ulaya magharibi hazitakuwa na uwezo wa kulimbikiza akiba ya gesi ili kukabiliana na kipindi cha baridi mwakani, Kwa mwaka huu tayari walikuwa wameshalimbikiza. Kwa hiyo mahesabu yao ni kumaliza mgogoro mapema kwa maslahi ya mwakani!!

Hayo yote wamerekani wa mbagala hawayajui!! Tunapoongea mazungumzo ya kuomba po yanaindelea nchini uturuki!!
 
Tens NI upande mmoja wa jiji hill upande mwingine bado upon chini ya urusi . Ukraine inakibarua kigumu cha kuvuka MTO dnopro kuja upande wa pili wa jiji LA Kherson ambalo unakaliwa na urusi tangu Jana majeshi ya kraine yalikuwa yanavuka MTO kuja upande wa pili unao kaliwa na urusi. warusi wakawa wanawazamisha kwenye maji.

Urusi inataka kufanya kitu kinachoitwa death from above hapo Kherson NI mwendo wa kushusha mabomu mazito tu.

Huko mji warusi wataurudia maana ndo njia ya kwenda mykolaiv na oddesa
Kojoa ukalale
 
Sa
Sasa kulikuwa na sababu gani ya kuanzisha vita , ilhali akijua kuwa ataenda kugawa ushindi
Sababu za Urusi kuitandika Ukraine ziliwekwa wazi:
1. Kuizuia Ukraine isijiunge na NATO. Na hilo limefanikiwa!! Nato wenyewe hawana ubavu wa kukubali ombi hilo la ukraine.
2. Kuinyang'anya silaha Ukraine. Jambo hilo lilishafanikiwa. Silaha zote alizokuwa nazo ukraine karibu zote ziliharibiwa. Ukraine inategemea silaha za kupewa na NATO kila leo. Kama NATO leo wakisema hatupeleki silaha ukraine, ukraine itabaki mikono mitupu.
3. Kukomboa majimbo mawili mashariki mwa ukraine yajulikanayo kama DONBAS. Hilo limefanikiwa kwa zaidi ya asilimia 90, na muziki bado unaendelea kumalizia asilimia zilizobaki.
4. Kuangamiza askari wa kinazi, Hili lilifanikiwa maana askari wa kinazi ndio waliokuwa wamejichimbia pale Mariuop. Waliuawa wengi na waliobaki walitekwa!!

MAFANIKIO YA ZIADA:
1. Majimbo mawili kusini mwa ukraine yametekwa na tayari yameshajiunga na urusi. Hii imesababisha kuunganisha Crimea kwa ardhi tokea urusi!! Hii asilimia 30% iliyoachiwa ni mkakati wa kijeshi tu kutokana na mpaka wa asili wa mto!
 
Aliahidi wapi? Weka ushahidi!!

USHAHIDI HUU HAPA
Kama lugha ni tatizo nenda google trans au wadau watakutafunia.

By Yaroslav Lukov
BBC News
27/4/2022

Any country trying to intervene in the Ukraine war will face a "lightning-fast" response, Russian President Vladimir Putin has warned.
"We have all the tools no-one can boast of... we will use them if necessary", he said, in what is seen as a reference to ballistic missiles and nuclear arms.
Ukraine's allies have stepped up the supply of weapons, with the US vowing to make sure Ukraine defeats Russia.
Western officials say Russia is being hampered in its efforts in the east.
Last week, Russia launched a major offensive to seize the Donbas region after withdrawing from areas around the capital Kyiv.
But according to one official, Russian forces are "finding it difficult to overcome the staunch Ukrainian resistance and they are suffering losses".

In another development, the European Commission has accused Russia of blackmail after Moscow cut off gas exports to Poland and Bulgaria.
The Commission's President, Ursula von der Leyen said it showed Russia's "unreliability" as a supplier.
The Kremlin said Russia had been forced into the action by the "unfriendly steps" of Western nations.
 
Vita ni propaganda na ni moja ya silaha ya kivita pia, lakini naya kuliko yote siku hizi hakuna chombo hata kimoja cha habari duniani hawana agenda zao, hata wale tuliokuwa tunawaamini zamani kama CNN, BBC au Aljazeera nao wana report kile wanachosimamia kama agenda ya kituo. CNN kwa sababu hawampendi Trump basi wote watashambulia republican, kwakuwa hawampendi Putin basi wataita hata wapinzani wa Russia kuwapa airtime ni kama TBC hata siku hawawezi kuwapa airtime wapinzani wa CCM muhimu list ndefu na hii imesababisha kuwa makini unasikiliza kituo gani? nini sera ya kituo hicho bahati mbaya sana hapa ndio tulipo na vituo biashara tu wewe lipa pesa nzuri utapambwa hata kama wewe kichaa unajulikana na wote. Vita ni propaganda ukweli hatutaweza kuja kujuwa nini hasa kinatokea ila tutalishwa wanachotaka kutulisha. Kitu kimoja muhimu hata uwe na nguvu namna gani kushinda kwa nguvu ni ngumu mwisho wa kila vita watu watakaa na kukubaliana lakini watu wameshakufa wengi ila wanasiasa hawajali hata hii vita watakaa wataongea na yataisha, lini? sijui
kuzungumzq yote na kuwaacha RT inaonesha waz ww ni timu Putin , kama ww ni muafrika nakuona kama kichaa , Babu zako walipigana dhidi ya Ukoloni ila leo ww unshabikia mtu anarudisha element za ukolon , yaan ameze majimbo ya watu achukue warusi kutokea Urusi waende kuwa watawala wawakilishi wa majimbo tekwa , hlf jinga moja linashbikia huu uchaf , Siku Putin akiwa Superpower anaeza tenda uozo kara 100 ya USA maana wao wanaamin kweny mabav kuliko diplomasia
 
Mimi sijaongelea Kherson peke yake clip inayotembea inaonesha watu wanashangilia na bendera hilo ndio wanataka watu kuliona na suala la Kherson kwani hilo linakushangaza wewe leo? mbona hili wiki mbili zilizopita Russia walisema wanaondoka hapo kwa hiyo wewe unaamini kuwa wamepigana hapo? suala lakujuwa kwanini Russia walitangaza kuondoka hilo hutasikia anakuja mtu anajipiga picha na kusema tumekomboa. Vita sio nguvu tu ni mipango
ww timu Urusi unajitis huruma sasa ila zikiletwa habari za Urusi ku advance neno propaganda utaliweka mfukon
 
But even as locals rejoiced, the evidence of Russia's ruthless occupation was all around, and Russian forces still control some 70% of the wider Kherson region. Russian forces are less than a mile from the city, across the Nieper River, where they blew up the bridge after retreating.

Hizi habari za kwenye media zao lakini huwa hawaongei kila kitu utasema Kherson yote imekombolewa kumbe watu wako upande wa pili wa daraja na sababu kubwa winter inaingia watu wanajipanga. sawa umekomboa kigamboni lakini Kinondoni, Ilala sijui ubungo ziko chini ya waasi halafu unasema tumekomboa Dar
kwann mlivamia feb kama mlikuwa mnasubir winter ?kuna muda mnaonesha ukichaa wa hali ya juu
 
We shall take Kyiv in 72hrs.....
Hapo walikuwa km 10 toka Kyiv, nini kikatokea, sijui maana wamejikuta wanarudi nyuma kila upande
wenyew wanasema kila sehem huwa wanaachia sasa sijui kwann hawaachii huko mapigano hayajafika
 
Mkuu usijidanganye eti Urusi inapigana na Nato, hapo Nato inachokifanya ni kumsaidia Ukraine silaha tena silaha kiduchu na za kiwango cha chini.

Nakwambia hii vita ingekuwa ni Russia Vs Nato kwanza isingefika leo bila vita kuisha. Nani asiyejua kuwa kanuni ya USA ni kudominate Anga na bahari?
Mpaka muda huu umeshazion F16, F22, F35 au mambo ya B2 ?

Ebu tuache utani kwa kusema Russia anapigana dhidi ya Nato.

Russia mwenyewe alishasema kuwa yeyote atakayeingilia hii vita basi atamshambulia. Ina maana wewe ndio mwenye taharifa kuwa Nato inapigana na Russia pasipo Russia kulijua hilo?
Russia inapigana na NATO wewe usiwe mdogo wa kichwa
 
Urusi inatembeza kipigo huko Donbass usipime!!

CNN —
Russian forces are arguably having their best spell since the invasion of Ukraine began four months ago.

They have eliminated most Ukrainian defenses in the Luhansk region, consolidated control of a belt of territory in the south, improved their logistics and command structure and blunted the effectiveness of Ukrainian attack drones.

Within the last week, the Russians have been rewarded for their intense – some would say merciless – bombardments of the remaining parts of the Luhansk region held by Ukrainian forces, which have finally given up Severodonetsk and lost territory south of Lysychansk.

The head of the self-declared Luhansk People’s Republic, Leonid Pasechnik, predicted last Friday that Russian forces would completely encircle Lysychansk within two or three days. So far they haven’t, but the city is in imminent peril.

A column of Ukrainian army tanks rolls down a road near Lysychansk on June 19, 2022.

A column of Ukrainian army tanks rolls down a road near Lysychansk on June 19, 2022.
Justin Yau/Sipa USA/Reuters

Russian forces have also stepped up attacks in the Donetsk region, getting slightly closer to the belt of industrial towns in the region that runs south from Sloviansk through Kramatorsk to Kostiantynivka.

In Lysychansk and many of the towns studded across the meandering front lines that pass through five regions, the Ukrainians may well face a repeat of what happened in Severodonetsk, where they were bombarded into withdrawing. There was simply nothing left that could be defended.

Ad Feedback
The immediate dilemma for the Ukrainian military is whether it remains committed to defending Lysychansk, with the risk of losing troops and weapons if the city is encircled – and whether Ukraine’s political leadership will order a withdrawal to new defensive lines.

If so, can the units now in the pocket of territory held by Ukraine retreat without being decimated? Large sections of the highway from Lysychansk to Bakhmut are littered with wreckage, and Russian units are edging closer to Bakhmut itself.

Artillery shells hit the town of Bakhmut on the morning on June 26, 2022, damaging several homes and killing at least one person.

Artillery shells hit the town of Bakhmut on the morning on June 26, 2022, damaging several homes and killing at least one person.
Scott Olson/Getty Images

It appears the Russians are not currently making much progress from Izium in the north towards Sloviansk, despite repeated attempts to break through Ukrainian lines. Even so, Ukrainian officials cautioned Sunday that Russian forces were “accumulating” north of Sloviansk. The Russian military can quickly mobilize a handful of battalion tactical groups sitting across the border.

Some Russian military bloggers are not getting carried away with optimism. Yuri Kotyenok, for one, believes that Russian forces do not have enough manpower to encircle the heavily fortified cities of Slovyansk and Kramatorsk.

In the longer run, the Ukrainians’ best hope is that as they deploy more Western weaponry capable of destroying Russian artillery, rocket systems and command posts far behind the front lines, they can gradually reduce the deficit in firepower.

An Ukrainian serviceman looks on after a strike on a warehouse on the outskirts of Lysychansk in the eastern Ukrainian region of Donbas on June 17, 2022, as the Russian-Ukraine war enters its 114th day. (Photo by ARIS MESSINIS / AFP) (Photo by ARIS MESSINIS/AFP via Getty Images)

Ukraine may have endured its worst week since the fall of Mariupol

But weapons such as the HIMARS rocket system, which has a range of 70 kilometers (43 miles) in the configuration supplied to Ukraine, require several weeks of training. And in Donbas, several weeks is a long time given the current pressure on Ukrainian forces.

That pressure is all the greater because many of the units deployed to the region are among the most experienced that Ukraine has. They have been worn down by the sheer intensity of Russian bombardment and are not easily replaced.

And the Ukrainian military has already lost in combat some of the weapons rushed to the front. Russia’s Ministry of Defense claimed last week that Russian strikes had already eliminated some of the US-supplied M777 howitzers.

The Russian offensive has also learned from mistakes made during the initial and abortive drive towards Kyiv. Air defenses, principally the S-300, have been deployed to provide extensive rather than local cover, making Ukrainian attack drones less effective. Anecdotally, it seems fewer videos have been posted recently on social media showing Ukrainian combat planes in action.

A man inspects a bomb crater after Russian artillery shells hit a district of Kharkiv on June 26, 2022.

A man inspects a bomb crater after Russian artillery shells hit a district of Kharkiv on June 26, 2022.
Metin Aktas/Anadolu Agency/Getty Images

Russia appoints new commanders​

The Russian hierarchy has also been reorganized, with new commanders for the southern and central forces committed to Ukraine under the overall leadership of Deputy Defense Minister Gennady Zhidko.

The Institute for the Study of War said the “Russian high command is reshuffling and restructuring military command in order to better organize operations in Ukraine.”

It’s perhaps no accident that the first reported visit of Russian Defense Minister Sergei Shoigu and senior commanders to forces involved in the “special military operation” came as the tide seemed to flow in Russia’s favor. Victory has a thousand fathers, but defeat is an orphan.
 
Back
Top Bottom