Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

huyo Urusi wako Bila USA mpk 1942 HITLER alipanga kufanya happy birthday yake huko Moscow , sio winter wala bibi ake Stalin , Walikuwa hoi bin taaban ujio wa USA kweny WW2 unamfanya Hitler apunguze nguv kwa Urusi ambae aliamin vita ameshinda maana alikuwa ndan ya Urusi tyr krb na Moscow , Ujio wA USA unamfamya Urusi apumue maana alikuwa anapigea mtungo Ujeruman na Japan , so Japan alipoona pressure ya USA akrud nyuma kumkabili USA pia Ujeruman alirudisha majeshi nyuma kumkabili USA , Urusi huenz huu ushind maana hakuwai pigana na taifa kubwa lolote huko nyuma , pia USA kajitahid kuboresha ukaribu na wale washirika wa Ujeruman pamoja na ujeruman na hii ilisaidia mpk leo kutofikiria kulipiza kisas , USA wana akili sana sio kama Urusi
 
Jeshi la pili kwa uwezo wa kivita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] Wahuni hao wapenda kiki za kijinga , tuwape JKT wawashughulikie hao mbwaa
 
Nan superpower mpk sasa ,usuperpower unaokotwa ?
 
NYANI KATEMA BUNGO
 
Sasa mkuu,kama ingekuwa ni hivyo kama unavyotaka kuwaaminisha watu,wasingeacha shehena ya silaha kiasi kile,walichokiacha,kuna maghara mengi sana yamejaa silaha,zao, kama lilikuwa ni suala hilo,wangekuwa na muda mrefu tu wa kuhamisha hizo silaha.
 
The Allied Powers won the war. The USA was one of the Allied Powers, and Russia was part of the Soviet Union, which also fought with the Allied Powers. So, you could say that both the USA and Russia won World War 2. Hii ndio sababu ya USSR kuchukuwa share yake East na US akachukuwa west.
 
ww timu Urusi unajitis huruma sasa ila zikiletwa habari za Urusi ku advance neno propaganda utaliweka mfukon
Kwanza nadhani wewe ungesema team gani mimi nikatika watu siamini chochote kwenye taarifa za habari sababu najuwa wote waongo hakuna ukweli 50% ukweli na 50% ni chumvi na sukari
 
Bahati nzuri nashukuru hao Russia hawajahi kutawala koloni lolote sasa hao unaowapigia debe ndio walikutawala.
 
While Westerners tend to see the war through the lens of events such as D-Day or the Battle of Britain, it was a conflict largely won by the Soviet Union. An incredible eight out of 10 German war casualties occurred on the Eastern Front. As German chancellor Angela Merkel said in 2015 “the Red Army played the decisive role in liberating Germany.”
 
Hueleweki
 
Najiuliza sana kama Ukraine ingepewa full support, ipewe ndege, MRLS za long range, Navy Support n.k hakika Ukraine ingeingia Moscow. Hii vita imemuacha mtupu sana Ukraine.
 
Marekani anajua kwanini Putin karetreat kutoka Kherson na kuacha 30% na sio eneo lote lakini Zelensky hawezi jua. May be the deal between US and Russian to satisfy the West. Mjinga huongea akipata muda lakini mwenye busara huongea inapobidi kuongea. Americans have no permanent enemy or permanent friend, but permanent interests
 

YAANI pro putin the small wanapata shida sana ukrain kushangilia walitaka wakae kimya, sawa na simba iwafunge tmu kubwa kama Brazil halafu wasishangilie mashabiki wa simba. Alielazikika kukimbia KHERSON ni supa pawa, jeshi kubwa la pili dunian ana ma sattelite angani kibao na hizo hypersonic, Iskander na madude kibao. Lakini kafyata mkia. Na saizi anasema yuko tayari kwa mazungumzo
 
Mkiitwa wajinga mnakasirika, wakati yaonesha kabisa ni ujinga mnao
 
Retreat manaake umeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…