Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

Hii hoja ya kwamba Japan iliinyanyasa US WW 2 hadi US akatumia atomic bomb haiondoi ushindi wa US kwenye Vita hiyo. Nani alimshikilia Japan asitumie atomic bomb dhidi ya US kama alikuwa nazo?, na kutokuwa nazo/kutokuzitumia ndo uinferior wenyewe ndugu yangu.
 
He umelishwa propaganda kiasi hichi? Lavrov anahojiwa anasema sasa wanaondoa vikosi kukimbia maafa zaidi kwa jeshi lake lakini pia raia, na wametaja wanajeshi 30,000 ambao wangeenda na maji., na kaulizwa vipi sasa na mulipiga kura Kherson kuipeleka Russia akajibu ndio Kherson na mipaka yake niyetu. ni kama vile Zanzibar wanavyodai mombasa ni ya kwao lakini ikawa hakuna namna

Unatakiwa ufahamu Kherson ndio mji No.1 urusi ilipovamia Ukraine kuuchukua kutokana ndio mji ambao ni gat away ya Crimea lakini mto Dinipro wakae tu waachie na kutelekeza vifaa vyao na mitambo iliyokuwa ata idadi haina?

Rudi nyuma emu kiduchu Putini alisema miji aliyopiga kura atailinda kwa nuclear sasa mji ulikuwa binded kulindwa kwa nuclear leo waweze ku-retreat hivihivi? unapaswa kukubali tu mwenye nguvu apishwee.
 


Hiyo ni strategic retreat.
 
andika upya ueleweke
 
ndo msiitumie WW2 kusema mtampiga NATO wkt USA pekee ndo waliwabeba hao Urusi lasivyo Hitler angekuwa ndan ya Moscow
 
Mrusi kawa mbwa koko. Anajitapikia na kujiharishia. Na bado.
 
Sasa mwenye 30% na 70% nani ana control mbona unajitoa ufahamu
nan kaizungumzia 70% wenzio wanazunguzia eneo alilokimbia Putin na sio huko alikoenda jificha
 
Kwanza nadhani wewe ungesema team gani mimi nikatika watu siamini chochote kwenye taarifa za habari sababu najuwa wote waongo hakuna ukweli 50% ukweli na 50% ni chumvi na sukari
acha unafiki
 
Bahati nzuri nashukuru hao Russia hawajahi kutawala koloni lolote sasa hao unaowapigia debe ndio walikutawala.
akil zako zipo sawa kwel ? unashabikia Urusi kisa hajawai kukutawala au unashabikia Urusi kisa tabia ya kutaka kuya colonize maeneo ya Ukraine ni sawa ? ukiitwa chimpazeeey sitokuteteaa maana hujui moja huzaa mbili
 
[emoji23][emoji23] ndio maana mkiitwa vichwa vya kuku huwq sikatai , West wajanja sana hawatak kutunza historia zitakazo tunza visas baadae ila Urusi hana akili hiyo na hata anavyoish na majiran zao unaona kbs kuwq Urusi huwa hawafikirii kesho , aliokuwa nao kweny Soviets leo % kubwa hawamtak ila makolon ya Ungereza karib yote yapo beneti na Uingereza mpk leo i.e USA ,
& CANADA etc hii inaitwa ART OF LIFE urusi anaikosa hii , USA haters ndo wanamueka Urusi mjin
 
ww ni kichaa , mnasema marekan anapigana halaf ajue kitu asimwambie ZELE
 
Kwa hiyo Urusi ameamua kuikimbia mwenyewe au kakimbizwa Kherson?
Kwanini akimbie 'eneo lake' alilojimilikisha na kuapa kulilinda kwa nguvu zote?
 
vita ilipiganwa mlangoni wa Japan hlf kichaa mmoja anasema USA alinyanyaswa
 

Hakuna hata moja lililofanikiwa

1. Ukraine ilipeleka tena ombi la kujiunga NATO baada ya Russia kufanya upuuzi wake wa Referendums kwenye ardhi ya watu. Ili ujiunge inahitajika nchi zote 30 zikubali,sio kwamba unajiunga tu kama unajiunga na kikundi cha bongo movies.

2.Demilitarisation
Nayo pia haijafanikiwa maana kwa sasa Russia ndie moja ya wachangiaji wakubwa wa silaha kwa Ukraine wakifatiwa na mabeberu. Kila ambako Russia hua anakimbizwa hua anaacha masilaha kibao ambayo yapo kwenye state nzuri ya kutumika tena mfano vifaru vya kisasa T-90 Ukraine ilividaka kule Kharkiv na sasa wanatumia dhidi ya Urusi wenyewe. Plus Ukraine bado ina stock ya silaha zake za Soviet mfano bado inatumia Grad missiles mpaka Leo,Buk Sam,S-300,Sam,ina Makombora yake ya kuzamisha Meli Neptune.

3. Majimbo ya Donbas nako hakuna hayo mafanikio ya 90%.

Kumbuka mji pekee ambao Russia ilikamata wote ni Kherson ambao ulidakwa mwanzoni mwa Vita. Huko Donbass Russia anashikilia 50% na Ukraine 50% sasa unasemaje ni mafanikio ya 90%?! Tena hiyo 50% hapo kuna maeneo alikua akiyashikilia kabla ya Vita kuanza. Luhansk Ukraine imekomboa baadhi ya vijiji na wiki hii wamekomboa tena 12 settlements,na kazi inaendelea.
Zaporizhzhia pia Russia hajaikamata yote mwezi wa 9 huu tunaelekea wa 10.

4. Moja ya propaganda ya Russia kuvamia Ukraine ni kuondoa Unazi,lakini cha ajabu tumeona kwenye mabadilishano ya wafungwa Russia imeachia hao iliowaita wanazi kibao ambazo wamerejea Ukraine. Sasa unasemaje unaangamiza unazi halafu unawaachia huru wanazi wenyewe?![emoji1745]

5. Hiyo Kura ambao ilipigwa ya maeneo kujiunga Urusi haitambuliki kimataifa ni North Korea na Urusi wenyewe pekee ndo wanatambua hata swahiba wao China na India hawatambui huo upuuzi. Hayo maeneo yamejiunga na Russia kwenye makaratasi ndio maana mpaka Leo bado yanashambuliwa na Ukraine na hakuna kitu Russia anafanya maana hata yeye anajua si sehemu yake halali.
 
Excuses nyiiingi,kilichowaondoa Ni kipi hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…