Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Ndivyo walivyo kwambia wa-Ukraine au ramli chonganishi?!
 
Umekunywa denge mini?
 
Tayar huko....[emoji1787][emoji1787]
 
Kama waliambiwa wajiandae mbona wamekimbilia Poland. Si wangebaki maana wamejiandaa
 
Tetetee!
Crimea
Luhansky
Donensky
 
Acha kujitoa ufahamu bwashee yaan mwiz akuvamie alafu ukae kimya,Ukraine ni nchi huru ina haki ya kujilinda
Ukiongea sana unazidi kujionedha ulivyo na content chache. Hiyo nchi huru Ukranin ipo angani haina majirani? Ukiwa na majirani maana yake una mipaka na inasheria zinazokuunganisha wrwe na jirani yako. Nchi yako haiwezi kuwa hufu kama inakiuka mapatano na jirani yako ikiwa pamoja na kujiunga na maadui wa jirani yako ambaye mlikubaliana awali kwamba hutojiunga nao.
 
Jambazi linapokuvamia likavunja na kuiba hata redio limekutia hasara kubwa tu lakini ukilikata hata TAKO moja likakimbia likivuja damu ni faraja kubwa sana.
 
Inashangaza wewe uliyeko nchi ya giza unamwona hafai lkn raia wake wanamuunga mkono na amewaunganisha kupigana.
Vinginevyo wangemgeuka na kumtoa madarakani au hata kumsaliti kwa Russia au hata kuandamana.

Hivi nyie ndio mnaakili kuliko wa Ukreniani wote?
Watu wana uchungu na nchi yao wako tayari kuifia.
 
Aiseee
 
Huyu comedian sijui anamdanganya nani sijui anajua dunia haioni nchi yake ilivyo chakaa
Unatakaje Idawa, je aikimbie?
Aisalimishe kwa Putin?
Hivi aliomba vita au amevamiwa?

Watu ni wazalendo kwa nchi yao wako radhi kufa kuliko kuishi na kunenepeana wakitawaliwa.

Tusijilinganishe na Wayukreni sisi Sirro na vifaranga vyake wakipiga bomu la machozi tunasahau agenda zetu zote za maandamano.

Umeona mtu hata mmoja wa Yukreni anaandamana kumpinga Zelensky juu ya vita?.

Ndio wanakufa
Ndio majengo yameharibiwa
Ndio wana dhiki kubwa.

Lakini kwa mioyo yao yote hawajutii kupigana kwani wanapinga uonevu.

Zelensky na watu wakee ni mashujaa bila kujali watashinda ama laa.
 
... Katiba za nchi haziko hivyo wewe; hata Katiba ya JMT hairuhusu Amiri Jeshi Mkuu ku-surrender nchi kwa nchi vamizi kasome Katiba uelewe.
@idawa
Uione hiii uache kumlaum Zelensky.
Ameapa kuilinda Ukraine
 
Jambazi linapokuvamia likavunja na kuiba hata redio limekutia hasara kubwa tu lakini ukilikata hata TAKO moja likakimbia likivuja damu ni faraja kubwa sana.
Sasa hapo jambazi ni nani kama siyo Marekani na washirika wake??? Ulichosema ni sahihi kabisa lakini lazima uelewe kuwa majambazi ni hao unaowatetea!! Anachotafuta Marekani Urusi kupitia Ukraine ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…