Trump sio kiongozi na Hana sifa za uongozi na Hilo lilidhihirika Toka alivyokuwa rais kwa mara ya kwanza, sijui kwa Nini wamarekani walimludisha Tena ikulu.
Ni mtu mjeuri,mbabe asietumia busara hata kidogo, mtu wa visasi sana yani kama mswahili. Hebu fikiria kwenye mkutano wanamuuliza zelensky "eti kwa Nini ulikuwa timu ya Kamala na ulimfanyia kampain Kamala?? Seriously?? Maswali ya kijinga kama hayo tumezoea kuyasikia kwa wanasiasa wetu wa huku uswekeni wakiwaadhibu watu ambao hawakuwaunga mkono pengine kwa kupishana mitazamo, ajabu juzi taifa kubwa kama marekani viongozi wake wanauliza maswali ya kitoto kabisa...! Hawa wazungu tunawakuza tu lkn pengene Iq zao ni kama zetu tu.