Zelesnky ni Rais bora duniani kwa mwaka 2025 na hatokaa atokee

Zelesnky ni Rais bora duniani kwa mwaka 2025 na hatokaa atokee

worst president ever na lijinga halijuu diplomacy. Alipaswa asiende kama alijua atabarazwa. Analeta uanaharakati wa kishoga hahaha na bado he will be disposed through impeachment jinga hilo. Limekubali watu wake wafe kisa kuwafurahisha marekani na USA
kwamb baada ya kuvamiwa ulitaka afanyej ? hapo kasema aliwai kaa na Putin kutaka kutafuta amani ila Putin akaingia chaka , je bado unamlaumu kwa lipi ? ulitaka amsifir Urusi kwa kuvamia Ukraine ? hv ccmu mna matatizo gan ? nyie hamjui kuipigania nchi zaid ya uchawa
 
Zelenskyy: Tutajiunga na NATO.
Trump: Hakuna kujiunga na NATO.

Sijui vita vya Ukreni vimemsaidia nini Zelenskyy?
kwan nan alianzisha vita ? hv ccmu mna shida gan , uchawa umewaingia hadi kwenye damu , siku kenya akihitaj Arusha nahisi mtampa na Manyara ili msipigane nae
 
worst president ever na lijinga halijuu diplomacy. Alipaswa asiende kama alijua atabarazwa. Analeta uanaharakati wa kishoga hahaha na bado he will be disposed through impeachment jinga hilo. Limekubali watu wake wafe kisa kuwafurahisha marekani na USA
Wewe ni punguani,kwani Ukraine walikwambia wanataka kuwa upande wa Russia au Western? Mbona unatoa povu kuliko hata Ukrainians 😆😆👇👇

View: https://x.com/visegrad24/status/1896209829288673281?t=4MXu5cTnFhCmKyvSzLsigA&s=19

Hakuna wa kumshinda Zele kwenye kura ni moja ya Viongozi mashuhuri Kwa Sasa na muongeani mzuri.
 
Trump sio kiongozi na Hana sifa za uongozi na Hilo lilidhihirika Toka alivyokuwa rais kwa mara ya kwanza, sijui kwa Nini wamarekani walimludisha Tena ikulu.

Ni mtu mjeuri,mbabe asietumia busara hata kidogo, mtu wa visasi sana yani kama mswahili. Hebu fikiria kwenye mkutano wanamuuliza zelensky "eti kwa Nini ulikuwa timu ya Kamala na ulimfanyia kampain Kamala?? Seriously?? Maswali ya kijinga kama hayo tumezoea kuyasikia kwa wanasiasa wetu wa huku uswekeni wakiwaadhibu watu ambao hawakuwaunga mkono pengine kwa kupishana mitazamo, ajabu juzi taifa kubwa kama marekani viongozi wake wanauliza maswali ya kitoto kabisa...! Hawa wazungu tunawakuza tu lkn pengene Iq zao ni kama zetu tu.
Marekani vile vichwa vinavyotegemewa vipo Silicon Valey na area 51, hiyo serikali muhuni yeyote kama Trump anaachiwa tu aendeshe.

Hao jamaa ni genious kweli, lakini wa wapumbavu kama Trump na makamu wake humohumo.

Hata huyo Elon Musk ni walewale tu wajingawajinga fulani tu.
 
Wewe ni punguani,kwani Ukraine walikwambia wanataka kuwa upande wa Russia au Western? Mbona unatoa povu kuliko hata Ukrainians 😆😆👇👇

View: https://x.com/visegrad24/status/1896209829288673281?t=4MXu5cTnFhCmKyvSzLsigA&s=19

Hakuna wa kumshinda Zele kwenye kura ni moja ya Viongozi mashuhuri Kwa Sasa na muongeani mzuri.

Dah yaani ungekuwa karibu ningekutemea mate usoni mkuu, yaani wewe ni mjinga ka mavi na ni pimbi sana. Hao wakata viuno mashoga aka punga nao ni wakuwasikiliza????? Yaani wanaharakati wajinga kabisa hawajui chochote hahahah. EU tena kwa taarifa yako ndiyo machoko, USA kawaingiza mkenge ili awauzie energy na limpango lao la Nord Stream likajifia mbali na USA ndiyo anapiga mpunga baada ya kufa Nord Stream, na wakikorofishana naye anawanyima ernegy supply. In fact wewe ni jinga hujui siasa za Ulaya/Usa na Russia, nyamaza kimya. Nisamehe nimekutukana kwa sababu you’re an idiot unashabikia vitu usivyovijua
 
Watu kama nyinyi mko radhi mbakwe familia nzima kisa jambazi lililoingia ndani ya nyumba yenu Lina nguvu na silaha.

Msimamo na kupambana mpaka mwisho ndio sifa ya mwanaume rijali haijalishi adui yako ana nguvu kiasi Gani
Kama ni hivyo basi Ukraine isimame mwenyewe kupigana na Russia tuone. Tangu vita ianze anapewa tu misaada
 
Ukraine kumbuka walikuwa na rais aliyekataa kabisa kuwa kibaraka wa usa na eu, ila alipinduliwa akaja huyu shoga na ndiyo vita unayoiona
Lakini alikubali kuwa kibaraka Russia, Mwamba Zelensky Putin anachezea za uso, Trump naye kachezea na dili zake za kitapeli, hata EU akizingua atachezea pia, kwake yeye ni Ukraine kwanza.
 
Hamna
Kama Africa wote tungejali mali za wananchi wetu tungekuwa mbali sana sana nasema

Kwa majibishano yalee trump amefeli pa KUBWA tu

BBC WANAKWAMBIA haijawahii na wanahisi haitokaaa kutokea Tena RAISI WA Marekani kujibiwa simple MBELE ya ikulu yakee..........

Na iwe n HESHIMA kwa Ma RAIS WA NCHI zingine msikubali kuuza utu WENU kwa mabeberu kijinga hivyo

Nasema hiviiii kamwe Trump atothubutu kuonyesha Tena maongezi YOYOTE na zelesnky kama atafanikiwa kuongea nae Tena

Hana hamu naamini HATA kanisan Leo hajaeenda anawaza Yale majibishano

Wakihisi huyu fala tukimpa karatasi anasaini Moja kwamoja hahahaaaaa

Fyuuuuuu trump

Aijalishi ana uwezo WA kukata sijui mitandao yao ya jeshi wanayotumia atabaki best president 2025

Trump alikuwa anaenda kuongea na ndondochaa

Uwezi mwita mtu dikteta alafu umwite ikulu ukachukue MALIZAKE kingese hivyo hiyo utaipata Bara la.... Tu

KUNA SEHEMU anamwambia huwezi play with strong cards

Simple sikuja kuplay cards
Hahahaaaaaaaaaa

YAAN kuna vitu trump kajibiwa mpaka sasa anajuta kumwita yule Bwana ikuluu

Hawa mabeberu
walishazoea malofa WA Bara letu walkitaka kitu wanatoa masharti ya KISHENZI wanabebaa vyaooo

Hakuna SEHEMU amenifurahisha kama alipoambiwa una gamble na third war

Akajibiwa trump kwahiyo umeniitaa ku gamble na madini ya WA Ukraine.....nimekuja hapa kwa AJILI ya wananchi WA Ukraine na Malizao na ulinzi wao kama hakuna SEHEMU ya kuwalinda wao na malizao kwenye mkataba

Naomba niondoke

EMBU viongozi WA Africka tujifunze kwa huyu Bwana HATA kidogo tu

YAAN n somo haliitaji HATA kuwa na diplomaaaa

YAAN mwanangu mtarajiwa nasubiria may nimpe jina la Zelesnky

Na namshukuru mama yake kukubali hili jamboo

Viva Ukraine
Viva zelesky

Alimwona zelesnky kama USAID ama UNAIDS anaamua MAAMUZI yake ya ajabu kirahisi tu kakutana na motoooooo
ULaya wamemwambia arudi akaweke mambo yake sawa na marekani, hao ulaya hawana nguvu na uwezo wa kumsaidia bila ya marekani ,maisha ni hela siyo porojo
 
Lakini alikubali kuwa kibaraka Russia, Mwamba Zelensky Putin anachezea za uso, Trump naye kachezea na dili zake za kitapeli, hata EU akizingua atachezea pia, kwake yeye ni Ukraine kwanza.
Dah siyo hivyo ukiangalia kwa jicho la pembeni. Zelenskyy mpaka sasa hana wapiganaji zaidi ya mercenaries toka EU na USA, na hap mercenaries wanalipwa hela balaa. Pia wananchi wengi wanamchukia Sana Zelenskyy kwa kushindwa kuwashawishi US na Eu kumpa uwezo mkubwa wa kumpiga Russia
 
Dah yaani ungekuwa karibu ningekutemea mate usoni mkuu, yaani wewe ni mjinga ka mavi na ni pimbi sana. Hao wakata viuno mashoga aka punga nao ni wakuwasikiliza????? Yaani wanaharakati wajinga kabisa hawajui chochote hahahah. EU tena kwa taarifa yako ndiyo machoko, USA kawaingiza mkenge ili awauzie energy na limpango lao la Nord Stream likajifia mbali na USA ndiyo anapiga mpunga baada ya kufa Nord Stream, na wakikorofishana naye anawanyima ernegy supply. In fact wewe ni jinga hujui siasa za Ulaya/Usa na Russia, nyamaza kimya. Nisamehe nimekutukana kwa sababu you’re an idiot unashabikia vitu usivyovijua
Unahabari suala la wao kuwa kuwa punga mna lipifia kelele tu nyie ngozi nyeusi? Mbona huko kwao hawana shida nalo? Hali athiri uchumi au utendaje wao wa kazi?

Mbona hawalishpalii kama ngozi nyeusi mnavyolipigia kelele?
 
Hii pumba pia.. vita kaitaka mwenyewe kujipendekeza kwa NATO. Atulie ale makande aloyachemsha mwenyewe. Na marekan ndo alikia anampa msaada mkubwa zaidi kijeshi.. atakoma.
 
Unahabari suala la wao kuwa kuwa punga mna lipifia kelele tu nyie ngozi nyeusi? Mbona huko kwao hawana shida nalo? Hali athiri uchumi au utendaje wao wa kazi?

Mbona hawalishpalii kama ngozi nyeusi mnavyolipigia kelele?
Ni kweli ila kwanini huku wanaweka mawakala ili watoto wetu walawitiwe???
 
Mkuu alipaswa kuvaa suit huo ujinga wake ni wa huko huko nchini kwake. In fact jifunze, usipende kujionesha/kujisemea matatizo yako kwa watu hakuna wa kukuonea huruma!

Kwa kweli, Angevaa hata Suit nyeusi tii mpaka tai bado angekuwa kwenye msimamo ule ule wa vita.
 
Hivi kwanini watu wanapindisha ukweli juu ya madai ya zelensky? Ukraine inataka kujua kwenye mkataba wa madini kunahakikisho la usalama kwa ukraine na ardhi yake? Sasa jitu linatoka huko linatoa povu eti zelensky hataki kumaliza vita. Yaani mnataka ukraine iachie tu haki yake kirahisi tu? Mustake kuwaambukiza uwoga wenu kwa wengine wenye akili na wanaijua thamani ya nchi Yao.

Watanzanyani waoga muache wenye akili timamu wapiganie haki ya nchi yao wao siyo kama nyinyi
 
Back
Top Bottom