Zemanga soze kashakuja sana bongo hapa na timu tofauti tofauti na hajawahi kupoa

Mtaachana

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2025
Posts
2,049
Reaction score
6,903
FB_IMG_1786308756825.jpg

Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
 
Kasha kuja na Mazembe hapa mara kadhaa alifanya nini? nyie ndio wale mnaenda kuoa wanawake kwenye harusi unamkumbuka Chikwende?
 
Yule aliyewafunga magoli mawili tunamtaka Msimbazi. 😊😊😊😊

Hao wengine warud tu Congo.
 
View attachment 3647399
Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
Alaf imagine jamaa alikuwa anaumwa Ebola.
Je angekuwa mzima?😊😊😊😊

Mpira wamechezewa na kufungwa wamefungwa.
 
Back
Top Bottom