Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Sasa kuficha pesa nje hiyo inahusiana vipi na auditing firms wakati tax havens zipo kisheria?

2. Kuiba pesa hiyo ni kazi ya FIU kumdaka mwizi sio kazi ya PwC kujua chanzo cha pesa zako.

3. Umaskini kwa nchi zetu hausababishwi na tax havens bali sheria zetu. Mfano sheria zikataze kuhamisha pesa za kiasi fulani mbona China ilizuia capital flights ikabidi investment zilizopo ulaya ziondolewe.

4. Kampuni zinatoroshaje pesa huku TISS ipo? Maana kuhamisha cash kuna limits? Na zikiwa wired to foreign banks lazima mfumo wa TISS ujue sasa hapo PwC inahusika nini? Hata transfer payments kuna sheria zinakataza sasa kama TRA haiwezi simamia utekelezaji PwC wanahusika vipi?

Tuimarishe sheria zetu kama hatuwezi simamia unamlaumu vipi mtu aki utilize kuongeza faida?
 
Kesi moja haiondoi credibility ya kampuni yenye miaka kibao.... audits zaidi ya mamilioni alafu instance moja tu ndio ifunike yote? Hata hizo serikali mfano USA zimewahi kuwa exposed kwamba zinadukua taarifa za watu bila idhini yao so it's not like they are saints.

Hata Facebook huuza taarifa za wateja kwa 3rd parties and so on, issue ya confidentiality na privacy is a big concern kwa 90% ya mashirika duniani maana huwezi kuwa na taarifa sensitive usizitumie kiuchumi.
 
Mc dr Cheni anapesa kuliko Maprofesa na Ma PhD,
McGaraB ana pesa kuliko Maprofesa na Ma PhD

Hao MA MC wanapata sana hela sababu wanakula michango ya wenye pesa ya harusi.

Gara b kwa mwezi anatengeneza milioni 40.

Dr cheni upepo wake wa kutamba umeshuka ila hakosi milioni 10 kwa mwezi
 
Utasikia ujenge ghorofa la nini nitajaza wageni vyumba vingi vya nini ni gharama zisizo na msingi msomi huyo, so maisha yake yanazungukwa na uoga wa kila kitu ilihali analipwa vizuri
hahahahah ana evaluate before doing anything, na hiyo sometimes ina leta stress sana kwenye maisha.
too much seriousness is not good in our life, we gonna die mapema looh
 
Hao MA MC wanapata sana hela sababu wanakula michango ya wenye pesa ya harusi.

Gara b kwa mwezi anatengeneza milioni 40.

Dr cheni upepo wake wa kutamba umeshuka ila hakosi milioni 10 kwa mwezi
Na nasikia Kuna chuo Cha UMC, ngoja nikasome
 
hahahahah ana evaluate before doing anything, na hiyo sometimes ina leta stress sana kwenye maisha.
too much seriousness is not good in our life, we gonna die mapema looh
Kabisa hahaaaha unaona ehhh
 
Kwanini unakuwa Professor ? Je kama wewe ni mwandishi unapenda kuweka story nzuri kwenye karatasi (hata watu wakisoma tu kazi zako ni job well done) Je utaacha kuandika hivyo vitabu ili uuze pombe za kienyeji, sababu tu kwa wakati huo pombe za kienyeji zinauza zaidi ?

Je kwa kufanya hivyo utakuwa na piece of mind ? (Au ukiambiwa urudi nyuma utaacha uandishi wako ili ujifunze kuwa mchekeshaji sababu kuna wachekeshaji wana maisha mazuri) Je unaweza ukavutia kama hao wachekeshaji au wewe ndio utakuwa unachekesha ? (Not laughing with you but laughing at you)

 
Sio kweli. Kumbuka Profesa Lipumba na Profesa Kabudi kipindi cha JPM
 
Prof lipumba hajafanya kosa lolote tatizo wabongo mnapenda sana maisha ya unafiki. Kabudi uzi mzima unamuongelea yeye wakati kila mtu anafahamu ukiingia kwenye siasa akili zinakwisha
Sio kweli. Kumbuka Profesa Lipumba na Profesa Kabudi kipindi cha JPM
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Mkuu unawajua Prof Anna Tibaijuka, Sospeter Muhongo, Pro Rwekaza Mukandala? Au unazungumzia maprofesa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…