zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sasa kuficha pesa nje hiyo inahusiana vipi na auditing firms wakati tax havens zipo kisheria?Haya makampuni ni criminal cartels , ni kwamba tu kuna watu wakubwa duniani ni wamiliki wa hisa kwenye hayo mashirika na ndio wanayakingia kifua ili yaendelee kufanya huo umafia wanaofanya ,
Result ni kuendeleza umasikini kwa nchi masikini ,hao wahuni wanatengeneza tax evasion and fraud schemes wanawauzia clients ambao ni makampuni makubwa nk,hata money laundering wanafanya hao , unakuta mtu ni kiongozi fisadi kaiba pesa hao wahuni wanatengeneza hata kampuni feki (shell) companies zinasajiliwa kwenye tax heaven's hizo halafu hizo pesa alizoiba huyo mhuni mmoja zinakuwa chini ya kampuni Fake ambayo hata haiexist ,wanachofanya ni uhuni .
Hivyo hivyo hata kwa makampuni binafsi , pesa zinaishia kutoroshwa nje kinyemela kwa schemes za kihuni za hawa auditing firms
2. Kuiba pesa hiyo ni kazi ya FIU kumdaka mwizi sio kazi ya PwC kujua chanzo cha pesa zako.
3. Umaskini kwa nchi zetu hausababishwi na tax havens bali sheria zetu. Mfano sheria zikataze kuhamisha pesa za kiasi fulani mbona China ilizuia capital flights ikabidi investment zilizopo ulaya ziondolewe.
4. Kampuni zinatoroshaje pesa huku TISS ipo? Maana kuhamisha cash kuna limits? Na zikiwa wired to foreign banks lazima mfumo wa TISS ujue sasa hapo PwC inahusika nini? Hata transfer payments kuna sheria zinakataza sasa kama TRA haiwezi simamia utekelezaji PwC wanahusika vipi?
Tuimarishe sheria zetu kama hatuwezi simamia unamlaumu vipi mtu aki utilize kuongeza faida?