Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Haya makampuni ni criminal cartels , ni kwamba tu kuna watu wakubwa duniani ni wamiliki wa hisa kwenye hayo mashirika na ndio wanayakingia kifua ili yaendelee kufanya huo umafia wanaofanya ,
Result ni kuendeleza umasikini kwa nchi masikini ,hao wahuni wanatengeneza tax evasion and fraud schemes wanawauzia clients ambao ni makampuni makubwa nk,hata money laundering wanafanya hao , unakuta mtu ni kiongozi fisadi kaiba pesa hao wahuni wanatengeneza hata kampuni feki (shell) companies zinasajiliwa kwenye tax heaven's hizo halafu hizo pesa alizoiba huyo mhuni mmoja zinakuwa chini ya kampuni Fake ambayo hata haiexist ,wanachofanya ni uhuni .
Hivyo hivyo hata kwa makampuni binafsi , pesa zinaishia kutoroshwa nje kinyemela kwa schemes za kihuni za hawa auditing firms
Sasa kuficha pesa nje hiyo inahusiana vipi na auditing firms wakati tax havens zipo kisheria?

2. Kuiba pesa hiyo ni kazi ya FIU kumdaka mwizi sio kazi ya PwC kujua chanzo cha pesa zako.

3. Umaskini kwa nchi zetu hausababishwi na tax havens bali sheria zetu. Mfano sheria zikataze kuhamisha pesa za kiasi fulani mbona China ilizuia capital flights ikabidi investment zilizopo ulaya ziondolewe.

4. Kampuni zinatoroshaje pesa huku TISS ipo? Maana kuhamisha cash kuna limits? Na zikiwa wired to foreign banks lazima mfumo wa TISS ujue sasa hapo PwC inahusika nini? Hata transfer payments kuna sheria zinakataza sasa kama TRA haiwezi simamia utekelezaji PwC wanahusika vipi?

Tuimarishe sheria zetu kama hatuwezi simamia unamlaumu vipi mtu aki utilize kuongeza faida?
 
Umesoma lakini hiyo scandal na ukaelewa criminal involvement ya pwc kwenye hilo sakata wewe ?
Yaani pwc wafanye kazi na serikali halafu watumie nyaraka za serikali na kuziuza kwa clients wao ili kuzitumia kukwepa kodi halafu useme sio crime ? ,
Yaani conspiracy na act ya kudefraud serikali sio crime ?
Hiyo corporate law ulisomea wapi ?
Unafikiri ni kwa nini nchi zote duniani zinakimbizana na kuyabana makampuni kisheria yanayofanya tax evasion ?
Unajua implications za hiyo kitu we jamaa ?
Kesi moja haiondoi credibility ya kampuni yenye miaka kibao.... audits zaidi ya mamilioni alafu instance moja tu ndio ifunike yote? Hata hizo serikali mfano USA zimewahi kuwa exposed kwamba zinadukua taarifa za watu bila idhini yao so it's not like they are saints.

Hata Facebook huuza taarifa za wateja kwa 3rd parties and so on, issue ya confidentiality na privacy is a big concern kwa 90% ya mashirika duniani maana huwezi kuwa na taarifa sensitive usizitumie kiuchumi.
 
Utasikia ujenge ghorofa la nini nitajaza wageni vyumba vingi vya nini ni gharama zisizo na msingi msomi huyo, so maisha yake yanazungukwa na uoga wa kila kitu ilihali analipwa vizuri
hahahahah ana evaluate before doing anything, na hiyo sometimes ina leta stress sana kwenye maisha.
too much seriousness is not good in our life, we gonna die mapema looh
 
Hao MA MC wanapata sana hela sababu wanakula michango ya wenye pesa ya harusi.

Gara b kwa mwezi anatengeneza milioni 40.

Dr cheni upepo wake wa kutamba umeshuka ila hakosi milioni 10 kwa mwezi
Na nasikia Kuna chuo Cha UMC, ngoja nikasome
 
hahahahah ana evaluate before doing anything, na hiyo sometimes ina leta stress sana kwenye maisha.
too much seriousness is not good in our life, we gonna die mapema looh
Kabisa hahaaaha unaona ehhh
 
Kwanini unakuwa Professor ? Je kama wewe ni mwandishi unapenda kuweka story nzuri kwenye karatasi (hata watu wakisoma tu kazi zako ni job well done) Je utaacha kuandika hivyo vitabu ili uuze pombe za kienyeji, sababu tu kwa wakati huo pombe za kienyeji zinauza zaidi ?

Je kwa kufanya hivyo utakuwa na piece of mind ? (Au ukiambiwa urudi nyuma utaacha uandishi wako ili ujifunze kuwa mchekeshaji sababu kuna wachekeshaji wana maisha mazuri) Je unaweza ukavutia kama hao wachekeshaji au wewe ndio utakuwa unachekesha ? (Not laughing with you but laughing at you)

 
Professor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.

Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni
Sio kweli. Kumbuka Profesa Lipumba na Profesa Kabudi kipindi cha JPM
 
Prof lipumba hajafanya kosa lolote tatizo wabongo mnapenda sana maisha ya unafiki. Kabudi uzi mzima unamuongelea yeye wakati kila mtu anafahamu ukiingia kwenye siasa akili zinakwisha
Sio kweli. Kumbuka Profesa Lipumba na Profesa Kabudi kipindi cha JPM
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Mkuu unawajua Prof Anna Tibaijuka, Sospeter Muhongo, Pro Rwekaza Mukandala? Au unazungumzia maprofesa gani?
 
Back
Top Bottom