Zero brains societies mnawaza kuua innocent kids than to deal with them in Good way Panya road ni Zao la watu waliotengwa na Fursa.

MAGUFULI alimuua nani..?
Andika jina la victims na ushahidi kuwa aliuliwa na MAGUFULI.

1.
2.
3.
 
🏹🏹 wa sumu wakafie mbali, haiwezekani mtu mzima unilaze saa 12
 
Natamani siku wakuvamie nyumbani kwake au hata njiani ukiwa na familia yako halafu familia yako wajeruhiwe na kuumizwa vibaya Sana na hapo huna za hela za matibabu na Mungu awachukue kutokana na kukosa matibabu.

Ikitokea hivyo hiyo ndio uje na hili HUBIRI kwamba panya wasiuawe wakikamatwa.

Ushahidi na ushahidi unaonesha kwamba mtu katili huanza ukatili pale anaposhuhudia ukatili kwake au kwa familia yake
 
Natamani siku wakuvamie nyumbani kwake au hata njiani ukiwa na familia yako halafu familia yako wajeruhiwe na kuumizwa vibaya Sana na hapo huna za hela za matibabu na Mungu awachukue kutokana na kukosa matibabu.

Ikitokea hivyo hiyo ndio uje na hili HUBIRI kwamba panya wasiuawe wakikamatwa.

Tusijione sisi ni wema Sana kuliko Mungu Biblia inafundisha jicho kwa jicho na damu kwa damu kama njia za kuleta amani

Ushahidi na ushahidi unaonesha kwamba mtu katili huanza ukatili pale anaposhuhudia ukatili kwake au kwa familia
 
Kuna nyuzi zingine hua ni zaki swadha sana.....☹️
 
Mnaoshabikia mauaji nje ya sheria ndiyo makatili. Hakuna kibali cha kuua watu hovyo hovyo.
 
Kwanza kabisa unaonekana hujawai kukutwa na majanga ya kuibiwa halafu mtu haishii tu kukuibia bali anakukata mapanga na kama una mke au mtoto wa kike anabakwa mbele yako.

Pia kupeleka dunia kihaki haki mnazoleta mnafanya dunia isiwe sehemu salama kuishi kwa watu wengi sababu watu wachache wanasumbua na bado wanabebwa na visheria uchwara na wana uwezo wa kushinda na kuwa huru kabisa.
Kwahiyo kudeal na hao panya kama serikali haitii mkono ni wananchi wenyew tu ukipata nafasi ya kuua basi ua hao panya hata 7 au 5 kwenye kundi lao.
 
Hujawahi kukutana na hawa watoto..kule Tanga kuna watoto wanajiita "Watoto wa ibilisi" yaaani matendo yao na hawa panya road ni ya kuchefua sana..hawahitaji huruma kabisa..
 
Wale ni kikundi cha magaidi, wanapaswa wauliwe wote
 
Kuna kijana wetu anauza hardware ,wamemshambulia yupo ICU pale muhimbili, hawa ni magaidi sio panyaroad, ni wauliwe wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…