Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAGUFULI alimuua nani..?Haiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu.
Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer
Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha vijana waingizwa katika Fursa za uzalishaji .
Ahsanteni ..Ni Mimi hapa Mr Justice
Maana kuhusu kuua watu hakuna Mtu kaua watu wasio na hatia Kama Magufuli.
Bira kuwaandalia vijana Opportunities za Maisha ya kula kwa jasho msitegemee changes
Hata ulaya Jobless wanalipwa ili waweze Afford expenses za Maisha.
Yuko sahihi kabisa. Jiwe ikuwa muuaji ila sijaona connection ya Jiwe na hii mada.Ulivyo mtaja JPM nimekudharau kabisa
Labda kama hukuwa nchini Tanzania.MAGUFULI alimuua nani..?
Andika jina la victims na ushahidi kuwa aliuliwa na MAGUFULI.
1.
2.
3.
Eti tuwalipe mshahara wasituibie kitaamfano wa njia za haki ni zipi Mr.Justce?
Hujaweka kiulizo mbele mama....Hivi police kazi yao nin mbwa hawa
[emoji23][emoji22][emoji125][emoji125][emoji125]Hujaweka kiulizo mbele mama....
Kuhakikisha usalama wa raia na mali zaoHivi police kazi yao nin mbwa hawa
Hakuna kisingizio chochote unachoweza kuhalalisha mauaji nje ya sheriaHakuna kisingizio chochote ambacho una weza kutumia kulalisha uharifu acheni ujinga.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mnaoshabikia mauaji nje ya sheria ndiyo makatili. Hakuna kibali cha kuua watu hovyo hovyo.Natamani siku wakuvamie nyumbani kwake au hata njiani ukiwa na familia yako halafu familia yako wajeruhiwe na kuumizwa vibaya Sana na hapo huna za hela za matibabu na Mungu awachukue kutokana na kukosa matibabu.
Ikitokea hivyo hiyo ndio uje na hili HUBIRI kwamba panya wasiuawe wakikamatwa.
Ushahidi na ushahidi unaonesha kwamba mtu katili huanza ukatili pale anaposhuhudia ukatili kwake au kwa familia yake
Wale ni kikundi cha magaidi, wanapaswa wauliwe woteHaiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu.
Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer
Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha vijana waingizwa katika Fursa za uzalishaji .
Ahsanteni ..Ni Mimi hapa Mr Justice
Maana kuhusu kuua watu hakuna Mtu kaua watu wasio na hatia Kama Magufuli.
Bira kuwaandalia vijana Opportunities za Maisha ya kula kwa jasho msitegemee changes
Hata ulaya Jobless wanalipwa ili waweze Afford expenses za Maisha.
Kuna kijana wetu anauza hardware ,wamemshambulia yupo ICU pale muhimbili, hawa ni magaidi sio panyaroad, ni wauliwe woteHawa Panya Road wanachofanya sio kitu cha kuvumilia kabisa. Zipo Tabia za kuvumilia na kukaa chini kuelimishana lakini sio hii ya kuvamia watu na kuwakata kwa mapanga halafu anakuja mtu hapa anasema eti vijana wamekosa fursa sijui wamekosa ajira. Kweli jamani mtu kukosa ajira ndio ukakate watu mapanga.. this is Sad