Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Anakukwwpa wewe na hizo tabia zako. Sijui umejifunzia wapi?
 
Kunapokuwa na tatizo ni vizuri watu kujua ili waweze kuomba kwa nguvu, nguvu ya maombi inapishana kutokana na uzito wa Jambo, tuliona kwa Mwakyembe na Lissu, watu waliposikia chakula hakikulika, waligalagala na Mungu akasikia.

Kutegemea teknolojia tuu ambayo hata MH mwenyewe haiamini, sijui kama ingeweza kuwaokoa Lissu na Mwakyembe
 
Hajawahi kuongea ukweli wowote. Followers wake ni mazwazwa ndio maana bado wana mfuatilia...
Ni kweli, anaishi kwa posho anayopata kwa kuwa na followers wengi kwenye mitandao ya jamii. Wakimtupa mkono atakufa njaa fasta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…