BreakingNews
Member
- Jun 6, 2016
- 30
- 56
Kesho waziri mkuu inasemekana atakua na ziara mkoani Mbeya. Ngoja tuone kama haitaahirishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhh jaman mm mbona natetemekaMasaa mawiri toka sasa
Nilisikia habari ya waziri kuwa Mbeya leo ,Alitakiwa pia kwenda Mbeya
MhhhhhHuko twitani imeandikwa kwamba uwanja wa ndege kuna ulinzi na usalama wa kufa mtu. Sijui mapenzi ya aliye juu yametimia!!
Una maana gan mkuuTukutane kwa Mkapa!
Ndiyo kwani hujui kuwa binadamu ni wanyama?Azory, ben sa8, etc walikuwa wanyama?
Una maana gan mkuu
Kwa ivo kwako wewe Mbwa na Binadamu ni Sawa.Ndiyo kwani hujui kuwa binadamu ni wanyama?
Wote ni wanyama kisayansi mkuu.Kwa ivo kwako wewe Mbwa na Binadamu ni Sawa.
Bado hajalia lkn Mkuu.
Mbona unatuchanganya mara Lugalo mara airport?Meno ya mbwa yameumana huko Lugalo. Baadaye jioni tunajiandaa kumpokea hapa airport ya Dar
Hii ndege ilienda bombay hata lemutuz aliondoka nayo KWA ajili ya shughulo zake huko. SASA ndo inarudi. Ni dreamliner ya Atcl