Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Vyuma vimekaza mwenyewe anarudi shamba
Anauza kabati la vyombo lipo vizuri la mbao bei 200,000/=
Kabati la nguo mbao tupu lina milango yake ila alijafungwa so itahitaji upate fundi aifunge iyo milango mwenyewe ameiegesha tu bei 180,000/=
Anapatikana Dar es salaam, MBEZI
Maongezi yapo
Mpigie 0679247565View attachment 807976View attachment 807977

Haikupangwa hovyo ila kuna shida imetokea
Mkuu unadhani "hata ikitokea" shida zako zitaisha?
 
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida.

Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike.

Lakini nahisi waliopanga Ziara ya Waziri Mkuu kwenye Mkoa wa Njombe hawajaipanga kiumakini.

Juzi Waziri Mkuu alipita hapa ikisemwa anatokea Njombe kwenda Dodoma. Jana alipita tena ikisemwa anatokea Dodoma kwenda Njombe kuendelea na Ziara ya Mkoa wa Njombe.

Leo inaonesha alitakiwa awe Manda bandarini huko Ludewa, na inasemwa kuwa watu walikuwa tayari wamekusanyika ,lakini tena inasemwa anarudi tena Dodoma.

Nani ameipanga hovyo hii Ziara ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kiasi kwamba inaonekana haina utulivu?
...!!!.....????
 
giphy.gif
Kaka hivi hakuna bundi wa kisasa?
 
Kama tumefikia hatua ya kusema haya ni wazi tuko na shida, chuki, ubinafsi,wivu wa kijinga na ukosefu wa adabu wenye usio na utu.
Ugreat thinker ni Hekima ya kusaidia, kuwatakia wengine mema na kuheshima utu hata kama hupendi kufanya hivyo, lakini pia ni busara kukaa kimya/kusema na moyo wako kabla ya kutenda.
Ni kweli tuna shida sana ya kuwataka wakina beni saa nane na Azory gwanda wasipatikane tena upya...tuna shida sana wakina Lissu wanapigwa risasi na great thinker tumekaa tu kimya
 
Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka

Na ni Mtu na familia yake nae ana Mke na kuitwa Baba wa familia. Siku hizi wanaume ni wambea sana
 
Don't
Ni kweli tuna shida sana ya kuwataka wakina beni saa nane na Azory gwanda wasipatikane tena upya...tuna shida sana wakina Lissu wanapigwa risasi na great thinker tumekaa tu kimya
Don't relocate the karma.
Hukumu ya mazuri na mabaya utoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Don't

Don't relocate the karma.
Hukumu ya mazuri na mabaya utoka kwa Mwenyezi Mungu.
Kwani nani kamuhukumu mtu hapa?.....hapa tunazungumzia wale wajinga wote wanaoharibu nchi yetu kwa kuua akina alphonce mawazo,wakina ben saanane,wakina Azory gwanda,wale wapuuzi wote wanaoichafua nchi yetu kwa kuteka tekateka raia bila kufuata taratibu na sheria za nchi, wale wote wanaozusha uzushi mbali mbali,hawa ni wa kuuliwa tu
 
Back
Top Bottom