Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Tunaishi halafu tunaishiaView attachment 1724257
Jamani, si vema kutamka mambo yasiyo na uthibitisho. Naomba isiwe hivyo.

Tanzania tuna bahati, na kwa neema, huruma na upendo wa Mungu, Taifa halijawahi kumpoteza kiongozi mkuu wa nchi akiwa kwenye ofisi, tuombe iendelee kuwa hivyo.

Kumpoteza kiongozi mkuu wa nchi akiwa bado ofisini, huyumbisha Taifa. Awe yu mgonjwa au mzima, maombi yangu, Mungu amjalie maisha na afya njema.
 
Kwa hali iliyopo sasa Watanzania wako tayari.
 
Hivi nyie watu mbona mna Mambo ya ajabu sana ni kwa nini mnatia hasira nyie kwa hiyo mnataka kumpangia waziri mkuu nia yenu ni nini maana naona sijui mnataka kusikia Tanzania imekuwa ya ajabu sana hii miaka.

Tanzania imekuwa ya ajabu toka Malaika Jiwe aingie madarakani Sasa wewe usilazimishe watu wawe na maoni Kama yako boss.
 
giphy.gif
Vip huko vimeumana
 
Back
Top Bottom