Ziara hii ya Waziri Mkuu mbona haina utulivu?

Mambo ya kutunga ni ngumu kukumbuka
 
Hatupangiw
 
Sasa inakuhusu nini ?
 
Nimeongea na waziri mmoja ambaye ni classmate wangu. Tulikuwa na maongezi ya kinyumbani tu ila nikaingiza udadisi wa hili swala la afya ya magufuli. Waziri anasema magufuli ni mzima kabisa ila kwa sasa hivi yuko kwenye mfungo ambao ameuchukulia kwa nguvu sana kutokana na mambo mbalimbali yanayoikumba nchi kwa kipindi hiki. Ila huwa anakutana na mawaziri kwa nyakati mbalimbali, wala hayuko Chato bali yuko Ikulu
 
Sasa Kama apita na kurudi dodoma Kuna Nini?tatizo mnafanya sili na watanzania walishaamuka mapema na watoto kuwa bado wamelala wasubilie kupambazuke hii haijakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…