Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ulikuwa nao na kuona walivyokuwa wanafanya?Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Silku hizi sijui nimekuwaje,Ndugu zangu,

'Pinga pinga FC' una uhakika wapo 'idle' huko ?Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Mzee Mwinyi alishasema kila zama na kitabu chake. Vumilia tu mkuu zama zenu zimepitaNdugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
hata sijui hii report ya CAG ataiosoma saa ngapi na kutoa maamuzi saa ngapi!!!Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!
Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.

Wale wasifiaji wamegeuka wakosoaji baada ya kutemwa kwenye fursa za ulaji.Mzee Mwinyi alishasema kila zama na kitabu chake. Vumilia tu mkuu zama zenu zimepita
Mkuu tumeanza kuongea lugha moja, kweli muda ndio hakimu!Wenye nchi wamempangia hivyo ili madili yasukwe huku.
Wewe ni mpumbavu unaongozwa kwa hisia na sio uhalisiaEnzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!
Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.
Mataga na Sukumagang mna hasira sana tangu msalitiwe na mama yenu.Wewe ni mpumbavu unaongozwa kwa hisia na sio uhalisia