Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wanaona na shughuli za Siri za sreikali?Watu walioko Marekani wameona!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaona na shughuli za Siri za sreikali?Watu walioko Marekani wameona!!
1. "Delegation kubwa sana ya watumishi wa Serikali!" Wangapi? Leta fact.Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Hii sio rizki bali ni ubinafsi wa viongozi. Raisi anakiri nchi yetu bado uchumo upo hoi, wananchi maanilion ni maskini.umezikosa hizo perdime za foreign bad shukuru na wewe rizk yako ipo.sio kilankitu kipite kwako waache wenzo nawo wajipatie memanyannch hiv unaijua raha unayoipata pale unapojaza dokezo la perdiyem ya nke wewe?kale kafeeling kale ? safar ziwe nying sana tena
Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake!Ndugu zangu,

Siku hizi umebadili kibwagizo (chorus) toka Chadema hadi anti Samia, patheticNdugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Acha ushamba!Ndugu zangu,

Umesharudi toka Bujumbura ? Wamesemaje kuhusu ku support Umoja Party yenu?Ndugu zangu,
Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.
Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.
Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.
Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.
Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Pole mkuu.Yalaumu maisha ila sio wao wamyafanya yawe magumu.Pambana na hali yakoSilku hizi sijui nimekuwaje,
Ninachukia sana WATU wanaoongea sana kama CHIRIKU.
Watu wenye MAONI na hoja KWENYE kila kitu. I HATE THEM TO THE CORE
Ni kweli huyo Mashungi hopeless kabisa,hata ubalozi wa nyumba kumi hafaiHata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu.
Kweli huyu Mulamula ana mulamula dada Samia kerikweri!Kazi ya Mula mula hiyo🤣🤣
Pole mkuu.Yalaumu maisha ila sio wao wamyafanya yawe magumu.Pambana na hali yako
Ok poa, subiri tumuombe mtaalamu Manyaunyau amrudishia Jiwe aendelee na nchi yake.Hata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu.
Kweli kabisa! Awamu ya wapolipoli ilikuwa wanakula bata mkoa kwa mkoa, huku wakituaminisha tunajenga nchi. Lakini sasa wamjini wanakula Bata taifa kwa taifa. Wawe wapole tu! Kutesa kwa zamu.Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!
Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.
Wa chini sana anaweza akawa amevuta 6 millionHizo gharama zilizotumiwa kwa kila mmoja ni Mungu tu anajua, fedha nyingi zimeteketea.
Najiuliza alishindwa vipi kuondoka siku mbili kabla kupunguza hizo gharama?
Mleta mada naona hufuatiliiNdugu zangu,