Hivi ziara zinanda kwa siku au malengo!. Yaani unataka Raisi aje kutoka Tanzania hadi USA kukaa siku mbili kama vile Rwanda! Je unajua hii nchi ina states 50 na California pekee ina watu milioni 40, Texas milion 28.... kuna vitu vingi sana anaweza kufanya hapa. Hii ni nchi yenye uchumi mkubwa zaidi Duniani, yenye teknologia zaidi Duniani, Dollar ndiyo inatumika kama pesa ya kununulia vitu nchi inaongoza kwa uzalishaji wa mafuta halafu Raisi akae siku mbili ili tu kwa kuogopwa kupigwa madongo!. Hatakuwa katutendea haki kama hata rudi na wawekezaji na pesa.