Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Hata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu.
hivi mnaongeaga mkiwa na akilitimamu au mmelewa? hivi mnataka aongozeje ili mjue kuwa anaongoza nchi?hebu muacheni afanye kazi akikaa napo mtasema tu maana hamkosi ya kusema
 
Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!

Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.
Na sasa unatak wasifie kila kitu????
 
Silku hizi sijui nimekuwaje,

Ninachukia sana WATU wanaoongea sana kama CHIRIKU.

Watu wenye MAONI na hoja KWENYE kila kitu. I HATE THEM TO THE CORE
Ukweli unauma....Fanya uende ugeni sehemu ukae zaidi ya muda uliokusudiwa uone utapewa hata vyombo uoshe
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Mwache mama apumzike. Ku deal na matatizo ya Watz on daily basis sio kazi ndogo. Ikiwezekana aongeze siku nyingine tatu za mapumziko this time kwenye visiwa vya Hawaii. Kule kule alikopenda kwenda Obama. 😀😀😀
 
Sasa kama awamu iliyopita walisifia kila kitu, iweje awamu hii wakosoe na kupinga kila kitu?

Hivyo jibu ni ndiyo.
Wewe ndio unawachagulia cha kufanya au kutumia uhuru na utashi wao..???
Awamu iliyopita ulikosoa kila kitu kwa hiyo hii unaisifia kilakitu..???
 
Yuko idle mpaka kaanza kufuturisha watu huko USA.pathetic
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.

mkuu acha watu wale kwa urefu wa kamba zao..tuko kwenye " Royal Tour" 😉
 
Ukitaka kujua kwamba Royal Tour hamna lolote, kuna ambayo ilitengenezwa mwaka 2020 na lakini tuliishia kupoteza tu pesa. Iliitwa “Tanzania The Soul of a New Africa”

Hizo gharama zilizotumiwa kwa kila mmoja ni Mungu tu anajua, fedha nyingi zimeteketea.

Najiuliza alishindwa vipi kuondoka siku mbili kabla kupunguza hizo gharama?
Mkuu,

Huyu ndiye atakuwa wa mfano kuondolewa kinga ya kushitakiwa na kupanda kizimbani, yeye si amuruhusu wateule wa wamu iliyopita kushitakiwa wakati yeye mweyewe alikuwa sehemu yake na hakujiuzulu, 'wait to witness what shall transpire' hatoamini kitakachotokea pamoja na kujiundia ngome kwenye chama chake na serikalini.........the voice of the normal lamenting citizens shall not pass without causing remarkable effect....
 
Wewe ndio unawachagulia cha kufanya au kutumia uhuru na utashi wao..???
Awamu iliyopita ulikosoa kila kitu kwa hiyo hii unaisifia kilakitu..???
Kubishana na mtu mwenye hasira baada ya kupokonywa tonge mdomoni, ni kupoteza tu muda.

Kwa taarifa yako nilikosoa mambo mbali mbali awamu iliyopita! Na hata kwenye awamu hii, bado nimekuwa nikosoa mambo mbalimbali yasiyo na maslahi kwa Taifa.

Ila nyinyi kinacho watesa kwa sasa ni unafiki tu na hasira, na hasa baada kuondolewa kwenye mfumo wa ulaji. Wakati wa awamu iliyopita, mlikuwa mnasifia kila aina ya ujinga! Kisa tu mlikuwa ni wanufaika! Halafu eti leo mnajifanya kukosoa!
 
Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!

Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.

Unafiki ni kitu kibaya sana.
 
Kwani bado hajajua kama kuna chama kipya kilichoundwa na mazwazwa/wafuasi wa hayati
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.

Washauri wa watu wenye akili ndogo nao akili zao ndogo. Wazo la kumshauri Chief Hangaya kujiweka katikati ya hii project lilikuwa la kibwege sana.

Astute advisors to a president always make sure that the presidency is insulated against all potential fallouts from any action. Sasa hivi hii project ikibuma, Chief Hangaya ataponea wapi? Hao smooth-brained advisors wake itabidi wafanye kazi ya ziada kumsafisha!
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Hata Chaltle mwendazake alikuwa akienda likizo na delegation kubwa.na kupokea wageni wa kimaTaifa hukohuko Chaltle ,
Ccm acheni nongwa kwa mama
 
Back
Top Bottom