Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Kazi iliyowapeleka huko ndiyo iko namna hiyo; wewe ulitaka wawe wanapita pia bararabani na maspika wakitangaza utalii wa Tanzania? Kama humpendi Kiongozi aliyeko madarakani; ipende Nchi yako
 
Kazi iliyowapeleka huko ndiyo iko namna hiyo; wewe ulitaka wawe wanapita pia bararabani na maspika wakitangaza utalii wa Tanzania? Kama humpendi Kiongozi aliyeko madarakani; ipende Nchi yako
Jenga hoja acha kuchukulia mambo "personally"
 
MAREKANI SAFARI YA KIKAZI YA MH. RAIS SAMIA HASSAN, KUTOA MHADHARA WORLD BANK

Rais Samia Suluhu Hassan kutoa mhadhara katika mkutano wa Benki ya Dunia tarehe 23 April 2022 jijini Washington Marekani


23 April 2022
THE WORLD BANK GROUP

How Can We Build a More Resilient Future? Join the Conversation of the 2022 WBG-IMF Spring Meetings






The ongoing pandemic is worsening poverty and inequality, undermining growth and jeopardizing the prospects of resilient and inclusive development. Now crises around the world, including the war in Ukraine, have aggravated those uncertainties in ways that will reverberate around the globe, harming the most vulnerable people in the most fragile places and threatening even greater reversals in development. How can we build a more resilient future? At these Spring Meetings, the World Bank Group will convene leaders, experts and activists to discuss the impact of these global shocks on the most vulnerable communities. Our Spring Meetings offer a unique opportunity to interact with government officials, youth leaders, experts, and special guests. Our main events will be live-streamed in English, Arabic, French & Spanish. We want to hear from you as well! http://wrld.bg/t1NM50IqzNC
Source : World Bank


N.B
LEARN MORE :

2022 Spring Meetings Opening Press Conference with World Bank Group President David Malpass




World Bank Group President David Malpass will address the press during the International Monetary Fund and World Bank Group 2022 Spring Meetings. He will provide updates on the Bank Group’s efforts to respond to myriad crises around the world, as well as to help developing countries manage uncertainty and deliver green, resilient and inclusive development. Learn more: http://wrld.bg/EV2Q50INMwf

00:00 Welcome! 2022 Spring Meetings Press Conference

00:43 Opening remarks
08:21 Food security
10:22 Rising food prices
12:29 Support to Ukraine
14:17 Inflation in Mexico
15:49 Petrol subsidy in Nigeria
18:45 Oil importing states
21:37 Crisis response package for the poorest countries
24:53 Fragmentation of the world economy
27:42 Misallocation of capital by central banks
30:24 Closure of the press conference

ABOUT THE WORLD BANK GROUP 🌐 The World Bank Group is one of the world’s largest sources of funding and knowledge for low-income countries. Its five institutions share a commitment to reducing poverty, increasing shared prosperity, and promoting sustainable development. http://www.worldbank.org
Source : World Bank
 
Los Angeles

Manufaa ya ziara ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa tasnia ya Bongo Movie yafafanuliwa, sasa ni fursa wasanii kuchangamkia nafasi hii wajipenyeze kuingia Paramount Pictures n.k

RAIS SAMIA NDANI YA PARAMOUNT PICTURES MAREKANI / FULL MATUMAINI KWA WASANII

Source : Busokelo TV
 
Back
Top Bottom