Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Hili ni JANGA jipya kwa Tanzania. Fedha zinazotumika kwa ajili ya safari hiyo ni nyingi zaidi kuliko hata mafanikio yake.
 
Los Angeles USA

President Samia Suluhu Hassan will be in Los Angeles for the World Premiere of Peter Greenberg’s global television special, Tanzania: The Royal Tour, on Thursday, April 21 at Paramount Theatre at Paramount Pictures Studios.

"This is a very special, up close and personal journey to and through a country, seen through the eyes of its leader…" says producer and host Peter Greenberg.

"It's an all access pass, a deep immersion into the history, culture and the environment at a critical time in Tanzania's history." And the President was Greenberg's tour guide as they crisscrossed the entire country, from her small fishing village in Zanzibar to soaring over Mt. Kilimanjaro; from the expanse of the Serengeti to the Tanzanite mines, from searching for the big five to investigating the country's anti-poaching efforts.
Source : On the heels of a visit to the White House, President Samia Suluhu Hassan visits NYC for a royal tour: The World Premiere of Emmy Award-Winning Journalist & Travel Editor Peter Greenberg’s global television special, Tanzania: The Royal Tour
 
Tanzania yangu, mbona umekosa wa kukusaidia?
Kwa nini unazama kwenye matope bila msaada wowote?
Kwa nini umetelekezwa?
Mungu, tunaomba uikomboe Tanzania kutoka mikononi mwa FISI wala watu.
RIP, BABA YETU MPENDWA, JPM.
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Ni upigaji wa pesa za umma tupu
 
Watanzania hatuchukii mafisadi,, ila tunawaonea Wivu....tunatamani kuwa sisi.....

Chuki ni kwanini sio sisi... ndio maana tukipewa hvyo vyeo tunafanya kama wao.

Na hili ndio jipu linalotakiwa kutumbuliwa,,kila mtu ajitumbue... hapo maendeleo yatakuja...

Wenye dhambi, wanaochukia wenye dhambi wengine,, kwasabu wamefanya dhambi tofauti na dhambi yao

Mkuu Nas Jr nakusalimu kwa jina la JMT. Natumaini wahusika watasoma ulichoandika hapa ili kiwe mwongozo wa kufanya "VETTING" ya kuwapata viongozi wazuri (Wasio Mafisadi AU wasioweza kuwa Mafisadi) katika nchi yetu. Mungu atuwezeshe kufikia kiwango cha kuwa "Selfless Leaders"

Ahsante
 
Mataga mnaona wivu sana mama kula bata, subirini dawa iwaingie.. hamuamini macho yenu game imeisha half tamu hivi sasa ni zamu ya wengine
 
Mzee wa Msoga (mwalimu wake) aliifanya USA kama sebule yake, lakini alituachia nchi ambayo haikuwa na uwezo wa kulipa hata mishahara ya watumishi wake on time!

Serikali inayoamini Rais ndiye mwenye uwezo wa kutafuta wawekezaji nje ya nchi ni foolish government. Wazifunge tu diplomatic missions zetu zote; wanapoteza taxpayers money bila sababu ya msingi.
Ni fikra za kimasikini Raisi anasafiri kwa mikakati sio kukurupuka. Unafikiri Mwigulu angeweza kukutana na makamu wa Raisi wa USA?
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Hivi rais anaweza kuwa kwenye nchi ya watu halafu asionane na rais wa nchi hiyo inawezekana kweli? Rais wetu ameonana na Beaden au ndio hana nafasi ya kumwona?
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Ulitaka wakafanye wizara chato kwenye kaburi??? Mbona magufuli aliishia kwenye barabara za lami tu huko mikoani huku akizungukwa na mitutu ulishawahi kuhoji hilo?
 
Mkuu Nas Jr nakusalimu kwa jina la JMT. Natumaini wahusika watasoma ulichoandika hapa ili kiwe mwongozo wa kufanya "VETTING" ya kuwapata viongozi wazuri (Wasio Mafisadi AU wasioweza kuwa Mafisadi) katika nchi yetu. Mungu atuwezeshe kufikia kiwango cha kuwa "Selfless Leaders"

Ahsante

Kazi iendelee Mkuu..

Amen
 
Ni fikra za kimasikini Raisi anasafiri kwa mikakati sio kukurupuka. Unafikiri Mwigulu angeweza kukutana na makamu wa Raisi wa USA?

Mkuu wa nchi/serikali anayesafiri kwa mkakati haishii kukutana na msaidizi au wasaidizi wa mkuu wa nchi/serikali wa nchi mwenyeji. Uliona hata joint press conference yao jinsi ambavyo ilikuwa empty (haikuwa na cha maana)!
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi, Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayo yapo siku za mbele. Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa Rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
sis kw sasa hatuna rais tuvumilie tu hakuna namna
 
Hiyo hela waloipoteza na kina Idris sultan tungewapa kazi timu ndogo za Epl kumuelimisha mtu ni kazi mtu atakuwa anagoogle pole pole mpka ajue Tz ipo vipi geopolitics zake, usalama and etc jamaan hv mbona hata makampuni ya hapa yanafanya mimi naweza kumfuatilia joti kwenye tangazo kuliko wew mwenye kampuni ukikatika viuno kutangaza kampuni yako tunaweza tusimjue Calvin Klein lakini kwavile wanazivaa wakina Justin Bieber tutazigombania mpka basi kila siku mtu akiona Vist Rwanda atajiuliza Rwanda Kuna nn mbona kila siku naona neno hili ataanza udadisi yeye mwenyewe unaita uzinduzi majority kubwa ulowaalika ni WaTz wat f**K kiukwel mmetukosea Sana OK mmeenda kutangaza marekani what about the rest country in entire world or mtaandaa tour ya dunia and who f**k in gonna pay for it
 
Back
Top Bottom