Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hivi rais anaweza kuwa kwenye nchi ya watu halafu asionane na rais wa nchi hiyo inawezekana kweli? Rais wetu ameonana na Beaden au ndio hana nafasi ya kumwona?
Schedule ya Biden haiwezi kuwa na slot ya kuonana na gate crashers. Chief Hangaya hayuko pale kwa mwaliko wa U.S. Government. Ana bahati hata kuonana na VP Harris. Angeweza kuambulia kukutana na Blinken (U.S. Secretary of State) tu!