Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Wivu tu na chuki. Unasumbuka sana Rais Samia. Yule mtu wenu katili aliondolewa na Maksud na Mungu. Na tukaletewa mama.

Stop at once this reckless bitterness of yours!

Sauh'waaa
 
Rais na msafara wake wanakuwa redundant kwenye nchi ya kigeni huku kodi za wananchi maskini zikiendelea kuteketea, kwa hiyo hayo masaa ya bure ni kuzurura huku na huko kufanya shopping maana miposho ni ya kumwaga tu.......
Unajali kodi wewee? Kodi zetu matrilion yameenda kwa uwanja wa ndege hovyo porini na kutapanywa kwa mahawara
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Matàgaaaaa Mtaisoma mpaka huko UKENYENGE ndani ndani......
 
Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao.

Ila Rais kwenda kukaa nje week nzima, hii ni hatari sana. tuombe hii project itick vinginevyo tutatafutana kuanzia mwakani.
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Kazi ya Mula mula hiyo🤣🤣
 
Enzi za utawala wa Magufuli, mlikuwa mnasifia kila kitu! Hata yale mambo ya kijinga kabisa, na yenye kuleta maumivu na mateso makubwa kwa baadhi ya Watanzania! bado mlisifia tu na kutukejeli wote tulio lalamika!

Leo hii eti ndiyo mnajifanya kukosoa! Ni kwa sababu hampo kwenye mfumo wa ulaji bila shaka. Hii ni awamu ya watoto wa mjini kufaidi keki ya Taifa. Hivyo kuweni tu wapole.
Kimeumana
 
Atakuwa ameenda kuomba aungwe mkono 2025 iwapo atagombea coz kuna manyang'au yameonyesha need a ya kutaka kumkwamisha!!nadhani akataka aonane na Joe Biden Ili amhakikishie ushindi 2025 kwa msaada wa FBI kupika matokeo pale Kura zisipo tosha!!kama msoga alivoomba msaada kwa mjaluo 2015 Ili mwendazake ashinde dhidi ya mamvi!!!
Aliyekwambia Kura zina maana yoyote tanzania ni nani?
 
Hata hicho kinachosubiriwa ni hopeless hakuna la maana. Kifupi nchi imeshamshinda ikibidi ajiuzulu mwenyewe au asubiri 2025 aondoke kwa aibu
ujasusi si kuchunguza tu maadui wa kivita bali hata uchumi.Je watalam hawa wamechunguza na kuona filam akirekodi rais nje ya nchi ndiyo itafana na kuleta matokeo chanya?Isije tukatumia hela nyingi mwisgo wa siku ikabaki makumbusho.
 
Watanzania hatuchukii mafisadi,, ila tunawaonea Wivu....tunatamani kuwa sisi.....

Chuki ni kwanini sio sisi... ndio maana tukipewa hvyo vyeo tunafanya kama wao.

Na hili ndio jipu linalotakiwa kutumbuliwa,,kila mtu ajitumbue... hapo maendeleo yatakuja...

Wenye dhambi, wanaochukia wenye dhambi wengine,, kwasabu wamefanya dhambi tofauti na dhambi yao
 
umezikosa hizo perdime za foreign bad shukuru na wewe rizk yako ipo.sio kilankitu kipite kwako waache wenzo nawo wajipatie memanyannch hiv unaijua raha unayoipata pale unapojaza dokezo la perdiyem ya nke wewe?kale kafeeling kale ? safar ziwe nying sana tena
 
Rais na msafara wake wanakuwa redundant kwenye nchi ya kigeni huku kodi za wananchi maskini zikiendelea kuteketea, kwa hiyo hayo masaa ya bure ni kuzurura huku na huko kufanya shopping maana miposho ni ya kumwaga tu.......
ndio hapa mmekalia loho mbaya na husda waechen wenzen
mola hupanga kwa kila mja
 
Ndugu zangu,

Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali.

Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio.

Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje wanaoratibu ziara hizi,Rais anakosa cha kufanya akisubiri matukio ambayoa yapo siku za mbele.Wao wanaangalia posho zao na sio tija ya ziara ya Rais.

Siku zaidi ya tano kwa rais kuzuru nchi moja humfanya kuwa "iddle" muda mwingi asiwe na cha kufanya.

Ni matumaini yangu udhaifu huu utarekebishwa.
Kwa akili zako fupi,ndio umewaza hivyo
 
Back
Top Bottom