std7
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,293
- 3,928
Uwa na shangaa barakala yeyote alijitokeza hapa na kumponda Magu na kusifia Mama Samia
Hata mama Samia akitoka madarakani hawa hawa wataanza kumponda mana wakati Magu yupo madarakani walimsifu na kuponda Kikwete.
Niseme tu CCM ni ile ile, ufisadi ni uleule, rushwa ni zilezile, alipoishia aliyepita huyu aliyepo anaendelea palepale.
Hakuna mwenye nafuu, nafuu yetu watanzania ni kuiondoa CCM madarakani
Kuikataa CCM ni kumkataa shetani na mambo yake
Na kuikubali CCM ni kumkubali shetani.