Ziara ya Rais Samia India: Mambo yanayomtofautisha na wapiga porojo wengine

Ziara ya Rais Samia India: Mambo yanayomtofautisha na wapiga porojo wengine

Sisi hizo Rupia tutazipeleka wapi? Ninakuuliza acha kupanik
Zitakuwepo Kwa minajiri ya kufanya biashara kati ya Tanzania na India.

Kwani wewe unataka kuzipeleka wapi? Peleka BoT ikiwa nazo nyingi inaweza nunua bonds nk huko India tukawa na Mali zingine India.
 
Sasa tunangoja Mahraja Tour kutokea Bollywood.

Tuone manjonjo ya Bollywood kama hawajaonesha simba, Chuoi, tembi, nyati, chui, mamba wanapiga story na mama na wanafanya nae sarakasi.


Wahindi kwa graphics tu, ni namba moja duniani.
 
 
Kuna rais mmoja aliwahi kusaini mikataba 17 huko China ndani ya siku moja including mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kua uyaone mwanawane.
 
Kumbe ni mpiga porojo ila yeye ana utofauti wake?
 
Back
Top Bottom