ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Kama huoni tofauti wewe ni mpumbavuMimi mweyewe nimeshawahi kubeba Karanga ya Mohamed enterprise iliyokuwa inaelekea India.
Kutoka Tabora hadi Daresalaam kuna jipya gani?
Hizo ni porojo zisizotekelezeka wadanganyeni Wananchi wa Ikwiriri.Kama huoni tofauti wewe ni mpumbavu
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1711642471262720272?t=EE86ddrIOBr-kkrRV3zfrw&s=19
Wewe kama huoni tofauti ni mpumbavu,porojo au siyo?Hizo ni porojo zisizotekelezeka wadanganyeni Wananchi wa Ikwiriri.
Hizo Shilingi za Madafu huyo Baniani atazipeleka wapi?Wewe kama huoni tofauti ni mpumbavu,porojo au siyo?
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1711314611629175291?t=dWiHh116O_OWG7GqEawt1g&s=19
Kama Kwa kuzipeleka hakupo endelea kuwa mpumbavuHizo Shilingi za Madafu huyo Baniani atazipeleka wapi?
Sisi hizo Rupia tutazipeleka wapi? Ninakuuliza acha kupanikKama Kwa kuzipeleka hakupo endelea kuwa mpumbavu
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1710246465262538807?t=T3YnzyNh4myfoKjHNC0j5Q&s=19
Zitakuwepo Kwa minajiri ya kufanya biashara kati ya Tanzania na India.Sisi hizo Rupia tutazipeleka wapi? Ninakuuliza acha kupanik
halafu kuna mapoyoyo wanauliza kwanini mama Samia kaenda na Mawaziri 9.Uzuri unaleta povu na makasiriko ya chuki bila facts 😁😁😁
Kula chuma nyingine hapa 👇
View: https://www.instagram.com/p/CyOXBm6qA10/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kazi inaendelea 👇halafu kuna mapoyoyo wanauliza kwanini mama Samia kaenda na Mawaziri 9.
Kwetu huko, nakwenda kuwapa eneo bure wapande mitishamba mimi niwe nawauzia mitishamba tu.
Kwani Bandari ya Bagamoyo na Sgr bila Mwendazake kuvuruga vilikiwa havijengwi?Kuna rais mmoja aliwahi kusaini mikataba 17 huko China ndani ya siku moja including mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kua uyaone mwanawane.
Siasa za porojo zilishaishaKumbe ni mpiga porojo ila yeye ana utofauti wake?
Wanasiasa wa Tanzania aliyewaloga alishafariki. Ni uchawa kwa kwenda mbele.My Take
Samia ndio mama wa Uchumi na hakuna Rais wa Tanzania kabla yake amewahi fikia viwango vyake,probably baada yake itatuchukua miaka Mingi kumpata Rais wa Vitendo tofauti na porojo na propaganda tuliz
View attachment 2779697