Hizi riwaya zako nakumbuka motivational speakers wanavyotuletaga. Huwa wanahubiri mafanikio tupu, vitendo Sasa ndio utachoka.Hater kazi unayo ,na Bado namba mtazidoma zaidi
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1712075839712460805?t=CuoBxTBVl96TZSpg1-QhOw&s=19
Hapa ni vitendo na matokeo sio motivesheni spikaHizi riwaya zako nakumbuka motivational speakers wanavyotuletaga. Huwa wanahubiri mafanikio tupu, vitendo Sasa ndio utachoka.
Hizi porojo zenu chawa unaweza Kuta Kuna watu wanawaamini!Hapa ni vitendo na matokeo sio motivesheni spika
Kwa nini usiamini? Kwani Mradi wa Maji Miji 28 Dola mil.500 huko kwenu haupo?Hizi porojo zenu chawa unaweza Kuta Kuna watu wanawaamini!
Huku kwetu wapi Kuna mradi wa miji 28 ya maji ya $500m? Sielewi hata umeandika nini hapa chawa.Kwa nini usiamini? Kwani Mradi wa Maji Miji 28 Dola mil.500 huko kwenu haupo?
Kwani pale Zanzibar Chuo Kikuu Cha India hakijengwi?
Kwani Hatuuzi Mbaazi na Korosho India?
Kamuamini Mbowe usinipigie kelele za kijinga.
We mpumbavu nini,huko kwenu Mimi nakujua? Taja huko kwenu.Huku kwetu wapi Kuna mradi wa miji 28 ya maji ya $500m? Sielewi hata umeandika nini hapa chawa.
Korosho na mbaazi zinauzwa huko India miaka dahari, Wala sio jambo geni.
Nimuamini Mbowe kutokana na hizi porojo zako ama? Yaani umeona sikubalini na hizi ngonjera zako unaishia kupanick?!
Usilinganishe Mzungu na Mwafrika.Mimi nakuhurumia wewe. Ziara kama hizi alishafanya Sana Jamaa wa msoga. Zingekuwa na tija basi leo tusingekuwa hapa. Ni lini umewahi kusikia Kim wa Korea akifanga ziara kama hizi ulaya, Amerika na Asia kwa fujo kama huyu wetu? Korea kaskazini Iko mbali mno kiuchumi. Ni viongozi wajinga na wenye uwezo mdogo wa akili ndiyo huwekeza kwenye ziara na Tena kusafiri na watoto wao halafu wananchi wajinga na machawa wanabaki kushabikia ziara Ina tija. Mhindi hawezi kukualika bila kuwa na target zaidi yako.