Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

Rais Samia ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani. Ndiye kiongozi mwenye uwezo wa kuzungumza na akasikilizwa na Bara zima la Afrika na Dunia nzima kwa ujumla wake. Ndiye kiongozi aliyebeba matumaini na furaha ya watanzania

Ushawishi Duniani tuache ujinga jinga. Huyu Mama anaiba kura za vijiji ushawishi anatoa wapi kama anaiba kura za vijiji!. Wapinzani wanatekwa kila siku eti ushawishi toeni takataka zenu hapa na vichekesho. Nendeni mitandao ya machawa
 
Hakuna kiongozi mwenye ushawishi hapa Nchini na nje ya Nchi kumpita RAIS Samia mama yetu Mpendwa. Wewe unafikiri ni kazi rahisi kuorodheshwa kuwa Miongoni mwa watu mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani Kwote? Uchaguzi Mkuu anakwenda kuzoa na kukomba kura zote za ndio za Urais.
 
Anaenda kuongea na mizimuuu ya hukoo ajiimarishe vizr kwa ajili ya uchaguzii Lissu Kiboko ,unafanya watu waende Tanga ,Tanga sio mchezo mchezoo etiii
 
Anaenda kuongea na mizimuuu ya hukoo ajiimarishe vizr kwa ajili ya uchaguzii Lissu Kiboko ,unafanya watu waende Tanga ,Tanga sio mchezo mchezoo etiii
Hivi na wewe unaanzia wapi kumfananisha Rais wetu Mpendwa na mtu kama Lissu? Hivi kuna mwenye akili Timamu anaweza mpa lissu kura ya ndio?
 
Hivi na wewe unaanzia wapi kumfananisha Rais wetu Mpendwa na mtu kama Lissu? Hivi kuna mwenye akili Timamu anaweza mpa lissu kura ya ndio?

Hivi na akili zako utalinganisha kupendwa kwa Lissu na huyu Mama!!. Huyu Mama ni kwamba yupo kama Raisi na anawapa pesa watu kila mahali lakini ni mapenzi ya kinafiki. Lissu hakuna wa kumfananisha na Mama anajua hilo. Mama ni Mama wa Dolla sio Mama wa watu huo ndiyo ukweli. Yaani ni kama chaguzi zilivyoibiwa halafu uji toe akili za kichawa kwamba ni za kweli. JF hapa waweke poll kama ile ya Lissu vs Mbowe tuone Mama anatapa ngapi
 
Angekuwa anapendwa ingeshindikana vipi kupata pesa ya kununua gari alilokuwa analitaka kwa ajili ya starehe zake? Mbona michago imekuwa ya kusuasua tu mpaka amekata tamaa?
 
Attachments

  • Screenshot_20250119-215223.png
    163.5 KB · Views: 1
Ndiyo Mkoa Alipotangaza
Kifo Cha Jiwe Akiwa Kavaa Hijabu
 
Huko juzi tu nimetoka, kiufupi kitabu cha Tanga sio cha kwake na asiulize ni kwanini. Wana uchungu mkubwa sana kupeperushiwa koleo lao.

Atakachokaribishwa nacho ni machawa wa kukodi, ofisi za CCM zilizopakwa rangi mpya huku majengo yanayozizunguka yamepauka ajabu, ofisi za serikali zimechoka ni za kikoloni kuanzia kituo cha olisi, hospitali ya mkoa, uwanja wa ndege wa kikoloni, wafanya biashara kushindikana kuhamia stendi ya Kange, uchafu mwingi kwenye mitaro, manung;uniko mengi yasiyo na tiba......haya karibu Tanga......Muheza.....Pongwe.......Kange.........mpaka mji mkongwe
 
Acha wivu wako wewe na kuanza kuweweseka. Tanga inakwenda kuvunja historia ya mapokezi mazito kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa
 
Duh, wewe Lucas, hayo majina unayompatia mh. Rais, mbona ni ya Mungu? Asee,angalia sana, maana hata madam president sidhani kama anayakubali.?
 
Soon kuna raia watabubujikwa na machozi 🤒
 
Hivi marehemu mzee kibao aliyeuawa na ccm alikuwa mwenyeji wa mkoa gani vile
 
Duh, wewe Lucas, hayo majina unayompatia mh. Rais, mbona ni ya Mungu? Asee,angalia sana, maana hata madam president sidhani kama anayakubali.?
Mungu anaitwa Mungu . Na ni yule wa jana ,leo na hata Milele. Ndiye Alfa na omega
 
Ipo siku utakemewa. Dhihaka za namna hii huwa tunafanya Kwa wanetu wa chekechea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…