Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

Mikoa ya Tanga na Dodoma kama kumbukumbu zangu zipo sahihi ndiyo mikoa pekee Tanzania bara ambayo haijawahi kupata Mbunge wa upinzani

Kwahiyo tutegemee kanga na bendera nyingi za kijani kutawala kwenye hiyo Ziara
 
Attachments

  • IMG-20191109-WA0000.jpg
    IMG-20191109-WA0000.jpg
    35.8 KB · Views: 1
Mwaka huu ndio mwaka wa uchaguzi, amebakisha mikoa mingapi kufanya ziara?
 
Back
Top Bottom