CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mikono yake imejaa damuWatamkumbuka mzee wao alio uwawa na wasiojulikana!!!. Mama kachuja sana huo ndiyo ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikono yake imejaa damuWatamkumbuka mzee wao alio uwawa na wasiojulikana!!!. Mama kachuja sana huo ndiyo ukweli.
Mimi siyo chawa. Mimi ni msema kweli na mzalendo.Chawa katika uchawa wako
Wewe endelea kujiropokea tu kama mlevi wa gongoMikono yake imejaa damu
Mungu akusamehe sanaJamaa wewe ndio kichwa yako haipo sawa.
Wahi tiba Mirembe.
Yaani uchawa huko CCM mnaita uzalendo. CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.Mimi siyo chawa. Mimi ni msema kweli na mzalendo.
Sio kwa sababu ya tukia la Kibao na albadhir iliyofuatia.
Shwaini wewe kusema ukweli ndiyo kuropoka?Wewe endelea kujiropokea tu kama mlevi wa gongo
Unaona eh !
Chawa promax.Mungu akusamehe sana
Jifunze kujenga hojaChawa promax.
Ni aibu kwa taifa kuwa na vijana aina yako.
Kwa akili yako kuna hoja uwa unaleta humu?Jifunze kujenga hoja
Huwezi ukaelewa ikiwa akili yako ni ndogo na fupi.Kwa akili yako kuna hoja uwa unaleta humu?
Takataka.
acha kutuchekesha banaMimi siyo chawa. Mimi ni msema kweli na mzalendo.
Sipo kuchekesha hapa bali naongea ukweli tuacha kutuchekesha bana
Hivi wewe jamaa ndugu zako wanajua huwa unaandika huu uchawa hivi humu ndani?Huwezi ukaelewa ikiwa akili yako ni ndogo na fupi.
Machawa kila kitu kwao ni ukweli wengine wakiongea ni waongo. Wewe ni CHAWA. Endelea na unafiki wako mwenzetu inawezekana upo kaziniSipo kuchekesha hapa bali naongea ukweli tu
Na kweli wewe unalimwa!.Mimi ni Mkulima