Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

Anayesoma mabandiko yako lazima akili zake ziwe kama za Tlaatlaah
 
Waliofanya hivyo ni wale wanajisifia kuwa wanyonge, hakuna mtu timamu aliyefanya hayo, au nadanganya?
 
Na
Nakihurumia SANA kizazi chako kwa sababu kimepata baba mpumbavu
 
Nimekusamehe
Unashinda humu jamii forum ukipost ufara, muda wako mwingi unautumia humu jamii forum ukiandika comment za kuwachalenge watu wasiokubali ufara unaouandika humu, Mimi nadhani ungeutumia muda wako mwingi kujipambanua kimaisha kumbuka muda huwa hausimami Hizi nyakati utakuja kuzikumbuka.....
 
Unajuaje kama mimi nashinda huku ikiwa wewe hushindi humu?
 
Hii ni Neema na Baraka ya Mungu ya kipekee sana kwa watu wa mkoa wa Tanga,
kupata fursa muhimu sana ya kihistoria kukutana uso kwa uso na kipenzi cha waTanzania wote na Rais alieko madarakani Dr.Samia Suluhu Hassan, ambae pia huyo huyo ni mgombea urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu2025.

Hii ni bahati ya kipekee na muhimu sana,
Mungu wabariki watu wa mkoa wa Tanga,
Mungu mbariki kipenzi cha waTanzania wote rais Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Rais wetu Mpendwa anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Huku CHADEMA wakiendelea kuparuana.
 
Naona mnapeana support kwenye upumbavu
 
Naona mnapeana support kwenye upumbavu
gentleman,
mimi nasaport mambo muhimu ya kitaifa bila kificho wala woga bana,

kwan umepanic kuona vijana wa kizalendo,
kuuarifu umma wa JF, juu ya ziara muhimu sana ya rais DR.Samia Suluhu Hassana, mkoani Tanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…