Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Na huu mpango wa kujenga bomba la gas aliuasisi mwendazake

Pili gas ipo lakini hakuna viwanda vinatumia hapa Bongo sasa si bora iuzwe?

Ni uzwazwa kukaa tuu na kitu hakina faida kwako,eti viwanda vya Kenya vitazalisha kwa bei ya chini kwani vya Tzn vimekatazwa kutumia gas?
 
Mama anachofanya anafungua uchumi wetu ambao ulikuwa umejifungia.hiyo gesi kwenda Kenya mleta mada unadhani inakwenda bure?
Isome hoja yake tena kwa kawaida ru utaona mantiki
 
Hii gas unayozungumzia wewe haitoki hapa kwetu bali inatoka nje, ili tuwe na gas iyo unayosema inabidi kuwe na kiwanda cha ku compress hii gas yetu into liquid ndiyo iwekwe kwenye mitungi, kupata kiwanda cha kufanya hivyo inabidi uwe na si chini ya $25bn au $30bn, huo mpango wa kujenga hicho kiwanda ndio unaendelea maana muwekezaji keshapatikana km ambavyo wanatuambia.

Sasa swali lng ni je ule mpango wa kutandaza mabomba kwa wananchi ili waweze kufaidika na gesi yao uliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaweza kuanza na mitungi tu halafu tushushe bei ya refilling ili supply na demand vikue kwa kasi wakati tunabadili kutoka mitundi kuingia mifumo ya pipes za gesi, hii itawezekana kabisa.
 
Naona umeandika ujinga tu. Ni kama kusema timu fulani tusiwauzie mipira watafanya mazoezi halafu watatufunga. Kwanini una mpira usifanye na wewe mazoezi ushindane? Ukizima mshumaa wa jirani wako ndio utaongeza mwanga?

Gesi iko kwetu nani katukataza kutumia? Uvivu tu wa kufikiri na zile 60% alizosema asad ndio zinazotusumbua.

Tunaweza kufanya vizuri kuliko Kenya ila lazima tuondoe wajinga bungeni ndio tutapata mawaziri competent. Mnachagua wajinga wengi inabido rais achague mawaziri katikati ya wajinga.

Chapili kuwe na katiba inayowajibisha watu na hii inaanza na wewe sio kulialia chukua hatua sasa.
Mapimbi hao
 
Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!

Monopolistik sijui manini nini!

Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.

Kashampiga bao Bibi SASHA.
Watu wenye mentality za magufuli mtateseka awamu hii.mambo ya kujifungia ndani kuhusu maendeleo hayana nafasi tena mama anafanya vema tena kwa speed. Katoka Uganda tumesaini bomba la mafuta ,kaenda kenya tutauza gesi Kenya.nyie kufeni tu hamna faida
 
Hao wenye makalai ya C hawawezi kuelewa mkuu,ni wapumbavu Sana

Ndio maana mama kasema yaani usichimbe mali eti iko hifadhini sijui eti isubirie vizazi,hivyo vizazi vitanufaika vp wakati vimelelewa kwenye umaskini na mazingira mabovu?

Teknolojia inabadilika ukikaa na mali utaishia kuwa useless,ukibakia nayo na hutafuti soko wenzako watatafuta

Mama chapa Kazi usisikilize hawa mbwa wajamaa pumbavu zao
 
Kwahili kweli tutamkumbuka JPM

Mama Samia asijilegeze kwa Wakenya, Hawa watu sio wazuri wanataka tuendelee kuwa soko la viwanda vyao ilihali products zingine tunaweza kuzitengeneza wwnyewe

Mama awe makini sana na aendelee kuwapiga pini kama JPM alivyofanya.

Shauri yetu Wadanganyika
Huu uoga uoga na kutokujiamini kutatuchelewesha ndugu zangu maendeleo yanakuja katika win win situation msiwe na hofu samia a a speed tulichelewa sanaa.
 
Kwahili kweli tutamkumbuka JPM

Mama Samia asijilegeze kwa Wakenya, Hawa watu sio wazuri wanataka tuendelee kuwa soko la viwanda vyao ilihali products zingine tunaweza kuzitengeneza wwnyewe

Mama awe makini sana na aendelee kuwapiga pini kama JPM alivyofanya.

Shauri yetu Wadanganyika
Kwako wazuri ni akina nani? Usiwe mpumbavu ndugu
 
Tusisahau kuwa yapo masuala ya mahindi yetu kupigwa zengwe pale mpakani, Haya ni mambo ya marais kuyaweka sawa.

Huwezi kukwepa kwanza kuonana na jirani yako kabla hujawaza kufika mbali.

Angeanza Safari ya kwanza Washington kuonana na Biden bado kuna watu wangeanzisha maneno ya nongwa.
 
Nilisikia kwenye hotuba gesi huwa inasafirishwa kwa njia ya barabara kwenda kenya hivyo gharama inakuwa kubwa ndio maana wameomba bomba.
Kumbe biashara ilianza muda mrefu, kitakachobadirika ni jinsi ya kuisafirisha
Nawaomba mkaisikilize tena ile summury ya hotuba .
Tukumbuke Kenya imetuzidi uchumi kwa 80% .
Elfu 10000 ya Kenya more than100000 ya Tz.
Urusi huuza gesi ulaya na china ila hawana viwanda kama ulaya, Iran huuza gesi China ila hawana viwanda kama China.
Japan ilikuwa inatumia resource za mataifa mengine kuzakisha bidhaa na kuzirudisha bidhaa kuwauzia hao wenye material, Japan iliongoza viwanda bara Asia.
Makaa ya mawe ya Njombe yanasafirishwa hadi Nairobi lakini Njombe hakuna kiwanda chochote kinachotumia makaa ya mawe.
Huwezi weka kiwanda ambako hakuna consumer lazima uuze malighafi la sivyo ujenge uanze kusafirisha kwenye masoko tena kitu ambacho ni ghali kwa biashara
 
Back
Top Bottom