Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Heri kuongozwa na Mwanamke mwenye busara kuliko mwanamume mpumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Heri kuongozwa na Mwanamke mwenye busara kuliko mwanamume mpumbavu
Acha kudanganya watu,watanzania wengi tumekuwa masikini kwa sababu ya kutumia nishati duni kama mikaa na kuni. Leo hii umeme ni ghali kwa matumizi ya multpurporse ukija kwenye ges ndo balaa kabisa, laiti kama gesi ingesambazwa majumbani na viwandani tusengekuja hapa kulalamika.gesi ni ya kwetu,itutosheleze kwanza sisi wenye nayo ndo kisha tuitoe nje kama kama itatosheleza . Mfumo ni uleule hatukuwauzia mahindi wakenya kabla hatukujihakikishia kuwa tuna mahindi ya kutosha nchini.Aliyekufundisha uchumi kwamba unauza kitu nje ya nchi tu iwapo una "surplus" mwambie amekudanganya. Comparative advantage na monopolistic competition ndio msingi wa biashara ya kimataifa unaotumika sasa. Na ingekuwa hivyo usemavyo, basi dunia asingeweza kuishi mtu.
Karibia bara lote mpaka ujerumani wanatumia gesi ya mrusi.Hivi gesi ya Urusi inauzwa nchi zipi za Ulaya?
Hata ukiwa mbinafsi nayo iko useless na haisaidii chochote cha maana bora kuuza ilete pesa tufanye mengineBinafs sioni umuhimu wa kuwa wabinafsi ktk nishati hiyo baina Tz na Kenya,kizuri share na mwenzio.Kuna miradi mimiipogine ipo pale kwaajili ya kukuza biashara na uhusiano mzuri.Tz tunaenda kuwa na surplus ya umeme wa maji mwakani ambao ni wa bei nafuu.Tutangulize maslahi mapana ya nchi zetu mbili badala ya kutanguliza ubibafsi na woga kwenye ushindani wa biashara
Hakuna mantiki yeyote zaidi ya kuendeleza zile siasa za mwalimu kwamba madini hayaozi tuyaache mpaka watanzania watakapopata akili. Tutachelewa ndugu zangu.Isome hoja yake tena kwa kawaida ru utaona mantiki
Yaani wewe ni mbwa na kubwa jinga,,******** aliupandisha uchumi kutoka ngapi hadi ngapi?Magufuli na Kikwete nani aliua uchumi. Au ule uchumi wa madawa ya kulevya ndiyo mliona maendeleo. Mpende msipende hakuna raisi wa TZ ambaye aliupandiksha na kuukuza uchumi kama Magufuli. Mnaweza mkamchukia lakini alitutoa chini kabisa na kutufikisha uchumi wa kati. Hata Nyere hakuweza hilo. Leo hii ingekuwa bado awamu ya NNE hata mawaziri na viongozi wakuu wa serkali wangekuw wamekwisha kuwa MATEJA.
Watu bado wanamuota mwendazakeUna mawazo ya kichawi kama ndugu yako aliyeondoka
Watzn Waliowekeza huko Kenya wanafanya nini sasa kama sio kuweza?Ww ndio kiazi kweli...
kwenda kuwekeza Kenya mtaweza?
Tz mtabaki Ku produce raw materials
tu
Akili za kijinga za kuwaza kila kitu serikali ndio maana mambo hayaendiHii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.
Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....
duh[emoji1787][emoji1787]Kwani ulisikia Samia katoka Kolomije? Naye ni wa mjini kuliko Kenyatta kwahiyo ngoma droo. Aliyekuwa wa shamba now anaongoza malaika huko nchi ipo kwa mtoto wa mjini sasa hivi.
Ila hpo kwenye soko la hisa umenena mkuu kweli hali ishaanza kurudi[emoji848]Muacheni mama awajengee uchumi wenu maana kiongozi wa malaika alishauua. Mshukuruni Mungu amewaokoa huo uchumi wenu ulishaenda kuzimu. Hujasoma media za bongo huko kwamba soko la hisa la Dar limeanza kurejea hali yake.
Na huu mradi sio wa serikali ni private sector,, serikali haina uwezo wa kujenga pesa hakunaKwanza imabidi ukumbuke mama ana lengo la gas kutumika ndani kwa manufaa ya wananchi. Mara kadhaa amesikika akisema kuwa kwanini mradi wa ujenzi wa LNG plant umechelewa.
Gas ikishakuwa liquidified bas itaweza kutumika kirahisi kwa matumizi mbalimbali.
Sioni shida kuwauzia wakenya gas, tuache uoga tujipange kushindana nao
Kamuulize marehemu mumeo ******** ndio alikacha gas akasema ni ya mabeberu kwa hiyo acheni kelele mama apige Kazi tupate pesaHii gas unayozungumzia wewe haitoki hapa kwetu bali inatoka nje, ili tuwe na gas iyo unayosema inabidi kuwe na kiwanda cha ku compress hii gas yetu into liquid ndiyo iwekwe kwenye mitungi, kupata kiwanda cha kufanya hivyo inabidi uwe na si chini ya $25bn au $30bn, huo mpango wa kujenga hicho kiwanda ndio unaendelea maana muwekezaji keshapatikana km ambavyo wanatuambia.
Sasa swali lng ni je ule mpango wa kutandaza mabomba kwa wananchi ili waweze kufaidika na gesi yao uliishia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ikiwa partnership poa tu ili mradi gas ishuke bei maana kununua mtungi kg 30 kwa 47000 bado ghaliNa huu mradi sio wa serikali ni private sector,, serikali haina uwezo wa kujenga pesa hakuna
Ukaulize Nigeria au Angola kama mafuta yao yanauzwa bei ya chiniAnajua lakini kwasababu inatoka hapa ilitakiwa iuzwe bei ya chini Mkuu na sio bei iliyopo ambayo haina tofauti na ya Kenya/Uganda na Zambia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] watakwambia wanasubiri kizazi [emoji38][emoji38] hicho kizazi kitajikuta tuu kina akili na maarifa bila kuandaliwaNa wajinyonge maana hatuwezi kukaa na akiba ya gesi ambayo haina faida watu wanaakili gani?