Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Aliyekufundisha uchumi kwamba unauza kitu nje ya nchi tu iwapo una "surplus" mwambie amekudanganya. Comparative advantage na monopolistic competition ndio msingi wa biashara ya kimataifa unaotumika sasa. Na ingekuwa hivyo usemavyo, basi dunia asingeweza kuishi mtu.
Acha kudanganya watu,watanzania wengi tumekuwa masikini kwa sababu ya kutumia nishati duni kama mikaa na kuni. Leo hii umeme ni ghali kwa matumizi ya multpurporse ukija kwenye ges ndo balaa kabisa, laiti kama gesi ingesambazwa majumbani na viwandani tusengekuja hapa kulalamika.gesi ni ya kwetu,itutosheleze kwanza sisi wenye nayo ndo kisha tuitoe nje kama kama itatosheleza . Mfumo ni uleule hatukuwauzia mahindi wakenya kabla hatukujihakikishia kuwa tuna mahindi ya kutosha nchini.
 
Binafs sioni umuhimu wa kuwa wabinafsi ktk nishati hiyo baina Tz na Kenya,kizuri share na mwenzio.Kuna miradi mimiipogine ipo pale kwaajili ya kukuza biashara na uhusiano mzuri.Tz tunaenda kuwa na surplus ya umeme wa maji mwakani ambao ni wa bei nafuu.Tutangulize maslahi mapana ya nchi zetu mbili badala ya kutanguliza ubibafsi na woga kwenye ushindani wa biashara
Hata ukiwa mbinafsi nayo iko useless na haisaidii chochote cha maana bora kuuza ilete pesa tufanye mengine

Wengi humu ni majinga kama hayati ******** wanadhani kuwa tu na mali ndio kunaleta pesa.

Huko kwenye dhahabu kumeendelea? Bila hao wazungu hakuna cha maana hizo mali mtafanyia
 
Magufuli na Kikwete nani aliua uchumi. Au ule uchumi wa madawa ya kulevya ndiyo mliona maendeleo. Mpende msipende hakuna raisi wa TZ ambaye aliupandiksha na kuukuza uchumi kama Magufuli. Mnaweza mkamchukia lakini alitutoa chini kabisa na kutufikisha uchumi wa kati. Hata Nyere hakuweza hilo. Leo hii ingekuwa bado awamu ya NNE hata mawaziri na viongozi wakuu wa serkali wangekuw wamekwisha kuwa MATEJA.
Yaani wewe ni mbwa na kubwa jinga,,******** aliupandisha uchumi kutoka ngapi hadi ngapi?

Huo huo unaoita uchumi wa ndaga ndio ulileta ustawi wa maisha ya watu na vitu hadi sekondari kila kata,vyuo vikuu kila sehemu,barabara kuu na madaraja vilijengwa ,kilimo kilistawi na heshima ya Tzn duniani ilikuwepo.

Huyo mjinga wenu aliishia kuishi kama digidigi kuwa mwongo,jizi na alichofanya ni kujinufaisha kwake na familia yake.Aliua uchumi hadi juzi tumeambiwa ukweli
 
Ww ndio kiazi kweli...
kwenda kuwekeza Kenya mtaweza?
Tz mtabaki Ku produce raw materials
tu
Watzn Waliowekeza huko Kenya wanafanya nini sasa kama sio kuweza?

Kwa taarifa yako cha muhimu ni balance of trade,tukiuza malighafi tukawa sawa kuna shida gani hapo?

Afu ni afya kupata wawekezaji kuliko kwenda kuwekeza nje maana unazalisha Kazi na uchumi wa nchi husika ndio maana nchi za west na USA walikuwa wanatoa incentives kwa raia wao waliowekeza nje warudi kuwekeza ndani

Tena wawavutie wawekezaji wengi wa Kenya waje tutanufaika ajira,uchumi kukua,teknolojia na ujuzi wa biashara maana Watzn wengi ni vilaza kama wewe ,tukiendelea hivi nchi haiwezi kuendelea
 
Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.

Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....
Akili za kijinga za kuwaza kila kitu serikali ndio maana mambo hayaendi

Kinachozuia ni serikali au ni mazingira ya biashara?
 
Miaka yote hiyo mikakati mbona huitoi? Uchumi wa gas na Muhongo iliishia wapi?

Mwendazake alisema gas ni ya mabeberu kelele za nini saizi?

Afu usiwe unaongea as if nchi zote duniani zina gas na zile ambazo hazina hakuna maendeleo.

Hii dhana ni ya kipumbavu eti rasilimali zibaki kusubiria kizazi kijacho,hii utakiandaa vp kizazi kijacho bila pesa? Teknolojia ya nishati haitegemei gas tuu

Hii nchi inahitaji pesa kujenga uchumi wa sasa na wa baadae ,uza tupate pesa .kama inagawiwa bure na wewe kanunue fungu lako uwawekee kizazi chako
 
Muacheni mama awajengee uchumi wenu maana kiongozi wa malaika alishauua. Mshukuruni Mungu amewaokoa huo uchumi wenu ulishaenda kuzimu. Hujasoma media za bongo huko kwamba soko la hisa la Dar limeanza kurejea hali yake.
Ila hpo kwenye soko la hisa umenena mkuu kweli hali ishaanza kurudi[emoji848]
 
Kwanza imabidi ukumbuke mama ana lengo la gas kutumika ndani kwa manufaa ya wananchi. Mara kadhaa amesikika akisema kuwa kwanini mradi wa ujenzi wa LNG plant umechelewa.
Gas ikishakuwa liquidified bas itaweza kutumika kirahisi kwa matumizi mbalimbali.
Sioni shida kuwauzia wakenya gas, tuache uoga tujipange kushindana nao
Na huu mradi sio wa serikali ni private sector,, serikali haina uwezo wa kujenga pesa hakuna
 
Hii gas unayozungumzia wewe haitoki hapa kwetu bali inatoka nje, ili tuwe na gas iyo unayosema inabidi kuwe na kiwanda cha ku compress hii gas yetu into liquid ndiyo iwekwe kwenye mitungi, kupata kiwanda cha kufanya hivyo inabidi uwe na si chini ya $25bn au $30bn, huo mpango wa kujenga hicho kiwanda ndio unaendelea maana muwekezaji keshapatikana km ambavyo wanatuambia.

Sasa swali lng ni je ule mpango wa kutandaza mabomba kwa wananchi ili waweze kufaidika na gesi yao uliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuulize marehemu mumeo ******** ndio alikacha gas akasema ni ya mabeberu kwa hiyo acheni kelele mama apige Kazi tupate pesa
 
Na wajinyonge maana hatuwezi kukaa na akiba ya gesi ambayo haina faida watu wanaakili gani?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] watakwambia wanasubiri kizazi [emoji38][emoji38] hicho kizazi kitajikuta tuu kina akili na maarifa bila kuandaliwa
 
Back
Top Bottom